passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,803
- 13,034
Natumaini kila mmoja kuanzia serikali, viongozi wa dini na watanzania wote mmeona Kwa kiasi gani watanzania wamegawanyika Kwa Sababu ya maneno na matendo ya wanasiasa.Imefika wakati mwanasiasa mmoja akifariki watu wengine wanafurahi na kufanya mpaka sherehe.Juzi mwanasiasa mmoja alifariki natumaini kila mmoja aliona comments za watu.Watanzania wengi walifurahia kifo cha mtu huyo.Mimi nashauri serikali isiruhusu matamko tata ya hao wanasiasa Kwa Sababu Taifa liligawanyika baada ya kauli za kufuru zilizotolewa na baadhi ya wanasiasa baada ya kifo cha Rais Magufuli,pia hao wanasiasa waombe msamaha Kwa maneno Yao Ili kuleta umoja na pia viongozi wa dini waiombee nchi Sana. Hali hii ikiacha iendelee itasababisha nguzo mojawapo ya nchi yetu yaani 'umoja' kuhatarishwa.Nashauri pia viongozi wabadhilifu watokomezwe Katika nchi yetu Kwa Sababu hao ndo wanakuja na matamko tata baada ya kubanwa. Pia wanasiasa nawaasa wawe makini na kauli zao maana zinahatarisha umoja wa watanzania pia wajue kuwa malipo ni hapahapa dunia yaani kauli zao zinawarudia wakiwa hapahapa duniani yaani ukitoa kauli za laana na wewe utapata laana.
Twende kazi kiroboto tutaona nani ataumia zaidiKila sukuma gang anatamani hii iwe ndio kitisho au kinga kwa dhalimu. Kwa taarifa yako dhalimu ndio alileta huu upuuzi, na hatupoi. Hatuna muda wa kutaka muungano na watu mliofurahia dhalimu kuumiza wasiokubaliana na utashi wake.
Lini Magufuli alitoa maneno ya kukufuru na kufurahia kifo cha mtu?maneno mengi ya Magufuli yalikuwa ya kisiasa tu.hao watu wako waliotoa maneno ya laana sasa hivi wanaanza kuumia wao na Wanasema huu ndo mwanzo Tu hakuna aliyefurahia kifo cha Magufuli atabaki salama huku ndo sehemu nchi yetu imefika.Kila sukuma gang anatamani hii iwe ndio kitisho au kinga kwa dhalimu. Kwa taarifa yako dhalimu ndio alileta huu upuuzi, na hatupoi. Hatuna muda wa kutaka muungano na watu mliofurahia dhalimu kuumiza wasiokubaliana na utashi wake.
Mi naona tukiendelea kufurahia vifo vya wenyewe Kwa wenyewe kama Taifa kisa matamko ya ovyoovyo Kama nchi tutafika pabaya.ule umoja wetu unaoendelea kupungua.Matabaka yatakuwepo milele usipate tabu hyo ndo asili ya dunia kila mtu atasimamia upande wake hata wakae meza moja kuelewana ndo maisha hayo ...
Kwahiyo watakaokufa ni wale tu waliofurahia kifo cha Magufuli? Au unadhani Magufuli alikuwa Mungu nini? Kama unadhani kuna mtu mtamtishia kwa huku kujiliza kwenu basi mmechemsha. Naona mmevamia kila uzi kutema nyongo mkidhani kuna anayetishika. Kwa bahati mbaya nyie wenyewe ndio mnatoa tathmini ya matamanio yenu mkidhani kuna aliyetishika.Lini Magufuli alitoa maneno ya kukufuru na kufurahia kifo cha mtu?maneno mengi ya Magufuli yalikuwa ya kisiasa tu.hao watu wako waliotoa maneno ya laana sasa hivi wanaanza kuumia wao na Wanasema huu ndo mwanzo Tu hakuna aliyefurahia kifo cha Magufuli atabaki salama huku ndo sehemu nchi yetu imefika.
Umoja dhalimu alishauondoa, saa hii tuko kwenye mavuno ya siasa zake za kishamba.Mi naona tukiendelea kufurahia vifo vya wenyewe Kwa wenyewe kama Taifa kisa matamko ya ovyoovyo Kama nchi tutafika pabaya.ule umoja wetu unaoendelea kupungua.
Waliokula pilau kuku pamoja na Membe usiku ule wakisherehekea kifo Cha anko Magu wakae mkao wa kula tena mahala pema peponi, one by one wanadondokahakuna aliyefurahia kifo cha Magufuli atabaki salama
Kila mtu aangalia kweny angle ya maslahi yake😅😅Mi naona tukiendelea kufurahia vifo vya wenyewe Kwa wenyewe kama Taifa kisa matamko ya ovyoovyo Kama nchi tutafika pabaya.ule umoja wetu unaoendelea kupungua.
Jaribu kweka aya kwenye uandishi wako.Natumaini kila mmoja kuanzia serikali, viongozi wa dini na watanzania wote mmeona Kwa kiasi gani watanzania wamegawanyika Kwa Sababu ya maneno na matendo ya wanasiasa.Imefika wakati mwanasiasa mmoja akifariki watu wengine wanafurahi na kufanya mpaka sherehe.Juzi mwanasiasa mmoja alifariki natumaini kila mmoja aliona comments za watu.Watanzania wengi walifurahia kifo cha mtu huyo.Mimi nashauri serikali isiruhusu matamko tata ya hao wanasiasa Kwa Sababu Taifa liligawanyika baada ya kauli za kufuru zilizotolewa na baadhi ya wanasiasa baada ya kifo cha Rais Magufuli,pia hao wanasiasa waombe msamaha Kwa maneno Yao Ili kuleta umoja na pia viongozi wa dini waiombee nchi Sana. Hali hii ikiacha iendelee itasababisha nguzo mojawapo ya nchi yetu yaani 'umoja' kuhatarishwa.Nashauri pia viongozi wabadhilifu watokomezwe Katika nchi yetu Kwa Sababu hao ndo wanakuja na matamko tata baada ya kubanwa. Pia wanasiasa nawaasa wawe makini na kauli zao maana zinahatarisha umoja wa watanzania pia wajue kuwa malipo ni hapahapa dunia yaani kauli zao zinawarudia wakiwa hapahapa duniani yaani ukitoa kauli za laana na wewe utapata laana.
Umeona juzi watanzania wengi walifurahia Membe alipofariki? Kabla ya kufariki umeshawahi kuona Hilo?umoja umeondolewa baada ya maneno ya watu wenu kufurahia kifo cha kipenzi cha watanzania.wakati wa Magufuli watanzania walikuwa wapo proud na nchi Yao sifa za Tanzania na Magufuli zilivuka mpaka nchi za kigeni.Umoja dhalimu alishauondoa, saa hii tuko kwenye mavuno ya siasa zake za kishamba.
juzi pia Kuna dhalimu jingine lilikufa.umeenda kuzika!!?Kila sukuma gang anatamani hii iwe ndio kitisho au kinga kwa dhalimu. Kwa taarifa yako dhalimu ndio alileta huu upuuzi, na hatupoi. Hatuna muda wa kutaka muungano na watu mliofurahia dhalimu kuumiza wasiokubaliana na utashi wake.
Hii sasa ni shida unajua nchi zilizopata shida mambo yalianzia hivihivi ngoja tuone.Mwanetu chuki ni hasira iliyokomaa. Hii ngoma ishawazidi uwezo hakuna wa kuizuia hayupo.
Kwa Sababu inaonekana wanahusika Kwa kuondoka Kwa Magufuli kutoka na matamko Yao Kwa hiyo na wenyewe hawatabaki.moja alisema kabisa waliingilia wenyewe waliingilia Kati Kwa hiyo wameshajipatia laana Kwa Sababu kiongozi wa nchi anawekwa na Mungu sasa wewe binadamu unathubutu vipi kumdhuru kiongozi aliyewekwa na Mungu tena kwenye nchi ambayo Mungu anakazi nayo?laana zao zimeshaanza kuwamaliza na huu ndo mwanzo Tu.Kwahiyo watakaokufa ni wale tu waliofurahia kifo cha Magufuli? Au unadhani Magufuli alikuwa Mungu nini? Kama unadhani kuna mtu mtamtishia kwa huku kujiliza kwenu basi mmechemsha. Naona mmevamia kila uzi kutema nyongo mkidhani kuna anayetishika. Kwa bahati mbaya nyie wenyewe ndio mnatoa tathmini ya matamanio yenu mkidhani kuna aliyetishika.
Kaeni mkao wa kufa kufa kudadadeki zenuKwahiyo watakaokufa ni wale tu waliofurahia kifo cha Magufuli? Au unadhani Magufuli alikuwa Mungu nini? Kama unadhani kuna mtu mtamtishia kwa huku kujiliza kwenu basi mmechemsha. Naona mmevamia kila uzi kutema nyongo mkidhani kuna anayetishika. Kwa bahati mbaya nyie wenyewe ndio mnatoa tathmini ya matamanio yenu mkidhani kuna aliyetishika.
SawaJaribu kweka aya kwenye uandishi wako.
Kilichofanyika juzi sio kuonyesha umoja ulivyoondoka maana tayari dhalimu alishauondoa, bali kilichofanyika juzi ni nyie sukuma gang kujaribu kujifariji kutokana na mashambulizi anayopewa dhalimu kutokana na aina ya siasa zake za kuhayawani alizoendesha hapa nchini.Umeona juzi watanzania wengi walifurahia Membe alipofariki? Kabla ya kufariki umeshawahi kuona Hilo?umoja umeondolewa baada ya maneno ya watu wenu kufurahia kifo cha kipenzi cha watanzania.wakati wa Magufuli watanzania walikuwa wapo proud na nchi Yao sifa za Tanzania na Magufuli zilivuka mpaka nchi za kigeni.