Mr. Teacher
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 330
- 88
TCU katika maelekezo yao ya vigezo vipya vya kujiunga na Vyuo Vikuu Nchini walisema pia kuwa Foundation Courses, Bridging Courses, na Access Courses zimefutwa kama njia ya kuingia Chuo Kikukuu.
Kwa uelewa wangu hii inagusa ktk entry ya University tu, sasa Tertiary Institutions baadhi yao zmefuta hizo kozi wkt zilkuwa ni entry level kwa ngazi ya Certificate! Mfano Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) wamefuta na kuwaondoa waliomaliza foundation course na wakawa wanataraji kujiunga na masomo ngazi ya certificate! Je hii ni sawa? Au ndo kukurupuka na kutoelewa tafsiri ya TCU.