Kufuta uanachama Hi5!

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Ndugu wadau naomba kama kuna mwenyekujua jinsi ya kufuta uanachama kwenye hi5.com......
 
..i suppose it's more like kufuta email account.

..you let it die! you know, don't log in.

..or try sending an email to the webmaster.
 
Mkuu kazi rahisi sana ingia kwenye profile ukiingia tu home page angalia upande wa kulia juu kwenye cona utaona wameandika account click pale alafu ikishafunguka page utaona upande wa chini kulia wameandika cancel account so pale unaweza kufuta page yako...Nadhani nimekuelewesha kama hujaelewa uliza wapi hujaelewa nitakusaidia pia...Pamoja
 
Asante Yasin ni katika kukaba hawa wake zetu.....
 
makubwa haya, we yoyo wewe kumbe ndo mambo tunayofanyiana haya, sawa bwana

Hahahhaa Yoyo na lasthope sawa sawa kabisa naona jamaaa kaamua kuvuta page kabisa...Naona kaona hali imekuwa ngumu sasa bora nijiondoe tu lakini pia ni rahisi sana nadhani atakuwa ameelewa zaidi
 
...Yo Yo, najua umeuliza jinsi ya kufuta umember, hata hivyo miye nakushauri usifute. Iache iwe kama back up yako ya facebook tu (assuming you are a member)! Punguza mapicha kule na info nyingine sensitive ulizoweka tu. Halafu kama kuna watu huwapendi, basi uwa delete wasiwe marafiki zako...

....kumbuka, kwenye Hi5 kuna degree of customization ambayo ni ngumu kufanyika kwingineko kule. Miye Hi5 sitoiacha!
 
sijaona faida ya hi5 mpaka sasa hivi......zaidi ya kutishia kuanguka kwa mahusiano.....hizi social network kwa wabongo kila mtu ana nia yake wengine nia zao sio chanya.....
 
Back
Top Bottom