Anakulinda wasiibe nyayo zako.........au labda anakufanyia remix na featuring huko kwao dodoma....Mimi ni baba wa familia,nikitokaga home,nimeambiwa mfanyakazi wangu hua anafuta alama ya unyayo nilioacha vumbi baada ya kupita either kwa fagio,mguu wake,au kitambaa,nikikanyaga barazani kama kuna vumbi pia anafuta,ana maana gani.
Binti ni mwenyeji wa Dodoma,ana umri wa miaka 19.
Si mara moja mke wangu,mtoto au mfanyakazi mwenzake anamwona akifanya hivyo,sijawahi kumuuliza namfuatilia.
Naombeni ushauri wenu.
UnarogwaMimi ni baba wa familia,nikitokaga home,nimeambiwa mfanyakazi wangu huwa anafuta alama ya unyayo nilioacha vumbi baada ya kupita either kwa fagio,mguu wake,au kitambaa,nikikanyaga barazani kama kuna vumbi pia anafuta,ana maana gani.
Binti ni mwenyeji wa Dodoma,ana umri wa miaka 19.
Si mara moja mke wangu,mtoto au mfanyakazi mwenzake anamwona akifanya hivyo,sijawahi kumuuliza namfuatilia.
Naombeni ushauri wenu.
Kuwa makini sana mkuuMimi ni baba wa familia,nikitokaga home,nimeambiwa mfanyakazi wangu huwa anafuta alama ya unyayo nilioacha vumbi baada ya kupita either kwa fagio,mguu wake,au kitambaa,nikikanyaga barazani kama kuna vumbi pia anafuta,ana maana gani.
Binti ni mwenyeji wa Dodoma,ana umri wa miaka 19.
Si mara moja mke wangu,mtoto au mfanyakazi mwenzake anamwona akifanya hivyo,sijawahi kumuuliza namfuatilia.
Naombeni ushauri wenu.