Kufuta alama ya unyayo nilioacha kuna maana gani?

laii

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
834
1,058
Mimi ni baba wa familia,nikitokaga home,nimeambiwa mfanyakazi wangu huwa anafuta alama ya unyayo nilioacha vumbi baada ya kupita either kwa fagio,mguu wake,au kitambaa,nikikanyaga barazani kama kuna vumbi pia anafuta,ana maana gani.

Binti ni mwenyeji wa Kisumu,ana umri wa miaka 19.

Si mara moja mke wangu,mtoto au mfanyakazi mwenzake anamwona akifanya hivyo,sijawahi kumuuliza namfuatilia.

Naombeni ushauri wenu.
 
Mimi ni baba wa familia,nikitokaga home,nimeambiwa mfanyakazi wangu hua anafuta alama ya unyayo nilioacha vumbi baada ya kupita either kwa fagio,mguu wake,au kitambaa,nikikanyaga barazani kama kuna vumbi pia anafuta,ana maana gani.
Binti ni mwenyeji wa Dodoma,ana umri wa miaka 19.
Si mara moja mke wangu,mtoto au mfanyakazi mwenzake anamwona akifanya hivyo,sijawahi kumuuliza namfuatilia.
Naombeni ushauri wenu.
Anakulinda wasiibe nyayo zako.........au labda anakufanyia remix na featuring huko kwao dodoma....
 
Huyo ni msaidizi wa kazi. Unapokanyaga sakafuni nakuacha alama za viatu, panakuwa na muonekano usio mzuri. Na endapo akiacha bila kusafisha, mkeo atakuwa wa kwanza kumsema.

Relax, binti anatimiza majukumu yake. Ondoa dhana potofu.
 
Hata kwenye compound nikikanyaga sijui anafuta au anachota,I mean barabara ya kutoka nyumbani.
Nikikutana na mlalamikaji alienihadithia hichi kisa nitamuuliza maswali mengi zaidi.
Kimsingi nilichomshauri ni aendelee na maombi kwa imani take,Mungu atamfunulia tuu hakika
 
Mimi ni baba wa familia,nikitokaga home,nimeambiwa mfanyakazi wangu huwa anafuta alama ya unyayo nilioacha vumbi baada ya kupita either kwa fagio,mguu wake,au kitambaa,nikikanyaga barazani kama kuna vumbi pia anafuta,ana maana gani.

Binti ni mwenyeji wa Dodoma,ana umri wa miaka 19.

Si mara moja mke wangu,mtoto au mfanyakazi mwenzake anamwona akifanya hivyo,sijawahi kumuuliza namfuatilia.

Naombeni ushauri wenu.
Unarogwa
 
Kuwa makini sana mkuu
 
Mama kaona umeanza kumkodolea macho msaidizi wako. Anataka umfukuze. Kwa akili za Wanawake amuone mfanyakazi za ndani anachezea nyayo za mumewe amuache? Wewe wanawake Hujui. Kaongeza chumvi tu.. Anahofia kupigwa bao, akiona hujali atakuletea kioja kingine akuambie anatemea mate chakula au alikuwa anakuchungulia. Nia umfukuze..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom