Kufurahia mahusiano watakiwa uwe hivi

Sent Kb

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,672
2,000
Kwenye mahusiano ukiwa na hasira hauwezi furahia ndoa/mahusiano na ukiwa na wivu unakuwa mtumwa wa ndoa/Mahusiano ukitaka kufurahia ndoa/mahusiano wewe kuwa mjinga ili uwe mwerevu ..kuishi na wanawake inahitaji akili kubwa na moyo wa utulivu sana .

Hapo kwenye bold ndipo palipo na point kubwa sana..!!
 
Bacary Superior

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
3,735
2,000
Mkizingua tunawazingua. Ngoma droo
And now days mnapenda kulia lia jf kama mjamzito aliepoteza mtoto.
Punguzeni kulalamika

tunataka mjirekebishe mpate kuolewa, unajua inaboa sana kanisani sala zimeisha afu mnasubirishwa eti kuna mtu anatafuta mume, afu kiti cha mbele nashindwa kutoka hahahahh(jokes)
 
Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,616
2,000
tunataka mjirekebishe mpate kuolewa, unajua inaboa sana kanisani sala zimeisha afu mnasubirishwa eti kuna mtu anatafuta mume, afu kiti cha mbele nashindwa kutoka hahahahh(jokes)
Mnaboa nyinyi hapo, hata mkioa haimaanishi ndio umevalishwa chupi la bati kwamba hutotomb* nje. Hayo ya kanisani kwenu ni nyinyi na matatizo yenu, mtajua wenyewe.
Now days hakuna oooh, u know the food is too hot ilimradi visa. Ngoma draw tu
 
Geita one

Member
May 11, 2017
63
95
Kwenye mahusiano ukiwa na hasira hauwezi furahia ndoa/mahusiano na ukiwa na wivu unakuwa mtumwa wa ndoa/Mahusiano ukitaka kufurahia ndoa/mahusiano wewe kuwa mjinga ili uwe mwerevu ..kuishi na wanawake inahitaji akili kubwa na moyo wa utulivu sana .

Ni sahihi kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom