KUFUR: Rais wa Ghana awateua Mawaziri 110

Rais wa Ghana aliyeingia madarakani hivi karibuni Hn Mahama afanya kufulu kwa kuteua mawaziri 110 nchini mwake.
Je kwanini TZ isiige tuwe na mawaziri hata 100 tu?
Tukiacha mawaziri mpaka sasa Rais kesha teua watu wangapi?, hawafiki 500?
 
Unaweza kukuta hata wakuu wa mikoa na wilaya wote wanaitwa mawaziri huko Ghana
 
Back
Top Bottom