woiso woiso
Member
- Feb 20, 2021
- 47
- 44
Nataka mwenye maelezo ya kina maana lilijibiwa jujutu.Majibu ya bungeni yalikuwaje?!
Ingawa heading ya uzi haiendani na contents zake..
Wafunge mwaka mzima, victoria kumefulia sana nowadays.Lake victoria nalo litafungwa mwezi wa 8 mwaka huu kwa miezi mitatu hadi november 2023.
Tahadhari. Panya road watakuwa wengi sana
Like ziwa samaki wanakata na ipobsiku yatabakua tu maji ya kuogeleaLake victoria nalo litafungwa mwezi wa 8 mwaka huu kwa miezi mitatu hadi november 2023.
Tahadhari. Panya road watakuwa wengi sana
Ni nchi zote zimefunga?Bungeni kuliulizwa swali la kifungwa kwa ziwa tanganyika kutokana na samaki kupungua na moja kwamoja majibu yalitolewa kua suala la kufungwa lilichululiwa baada ya samaki kupungua.
Swali la msingi ni Je?
1. Watafiti walitafiti upunguaji wa samaki?
2. Je wenye dhamana walijitangazia tu kufunga?
3 wananchi wanaofanya shughuli zao ziwani walishirikishwa kikamilifu?
4. Kama walishirikishwa taaarifa zilifafikia walengwa wote wabunge na mikoa Inayozungukwa na ziwapamoja na mamlaka shirikishi?
5. Wizara ilitathmini na kuona hatua wanazozichukua zina tija kwa wananchi wa chini na watumiaji wa ziwa.?
Wana Jamii mwenye ufafanuzi zaidi?
Napongeza hii hatua,itakuwa nzuri sana,hii inatoa mwanya wa samaki kuzaliana.Lake victoria nalo litafungwa mwezi wa 8 mwaka huu kwa miezi mitatu hadi november 2023.
Tahadhari. Panya road watakuwa wengi sana
Hili swali lijibiwe kwa maziwa yote Tanganyika, Victoria na NyasaNi nchi zote zimefunga?
Bungeni kuliulizwa swali la kifungwa kwa ziwa tanganyika kutokana na samaki kupungua na moja kwamoja majibu yalitolewa kua suala la kufungwa lilichululiwa baada ya samaki kupungua.
Swali la msingi ni Je?
1. Watafiti walitafiti upunguaji wa samaki?
2. Je wenye dhamana walijitangazia tu kufunga?
3 wananchi wanaofanya shughuli zao ziwani walishirikishwa kikamilifu?
4. Kama walishirikishwa taaarifa zilifafikia walengwa wote wabunge na mikoa Inayozungukwa na ziwapamoja na mamlaka shirikishi?
5. Wizara ilitathmini na kuona hatua wanazozichukua zina tija kwa wananchi wa chini na watumiaji wa ziwa.?
Wana Jamii mwenye ufafanuzi zaidi?
Kwa nchi.zinazotuzuguka sidhani kama wao wamefanya hili6---Je ziwa limefungwa Tanzania tu au hata katika nchi jirani kama Congo, Burundi na Zambia ambao tunashirikiana Ziwa hilo??
Kwa nchi.zinazotuzuguka sidhani kama wao wamefanya hili