Jamani Watanzania tuwe tunajenga utamadumi wa kitambua kazi za watu.
Hili la Flow Meter kila tunapolizungumza tusione aibu kutaja wazi kuwa liliibuliwa na Uchunguzi wa Gazeti la Uchunguzi la JAMHURI hadi Rais Magufuli akalisifia.
Nawatakia mjadala Mwema.
Balile
Ndugu Balile hakuna anayepuuza kazi nzuri iliyofanywa na Gazeti lako. Hoja hapa ni kuwa Zitto alikuwa na maslahi na ufisadi huu wa kuharibu flow meters.
Ingelikuwa vema gazeti lako likaenda mbali zaidi ili kuthibitisha tuhuma hizi nzito juu ya Zitto Kabwe.