Ba Razaack
Member
- Jun 15, 2020
- 31
- 41
Kuvunja sheria cio jambo jemaKwani hiyo saa 9:30 wanafikaga??? Kikubwa sheria zimewekwa ili zivunjwe??
Dar kuna watu wengi ,,unaweza tafuta nyumba ukakosa sehemu husikawe mwalimu utakaaje huku uswahilini halafu mbali na kazini.. Matatizo mengine mnasababisha nyie wenyew
Kazi watachapa sana, upande wa pili ni changamotoWw unataka kugomesha juhudi za kimaendeleo alizo azisha mkuu, hivi anaposema ""chapeni kazi Kwerikweri"" ww huwa haumuelewi
Ishu siyo sana kwa upande wa walimu.Mwalimu ni mtu mzima anaweza akapangilia mambo yake vizuri. Wasiwasi wangu mkubwa ni juu ya hawa watoto. Fikiria adha ya usafiri mijini na ndo anatoka muda huo mbaya.atafika nyumbani saa ngapi, atafanya home work saa ngapi. Tusipoangalia mimba zitaongezeka nyingi sana na wavuta bangi wengi kwani watoto wengi watafika majumbani usiku na mida hiyo ni rahisi kukutana na vishawishi njiani.Wana JF,
Tarehe 29 shule zote zinaenda kufinguliwa, ila Changamoto kwa upande wangu ni haya masaa mawili yaliyoongezwa, Kwa mwalimu anaekaa Mbagala af kazi anafanyia Makumbusho cna uhakika kama huu mda utakuwa rafiki kwake kutoka saa 11:30 Makumbusho then arudi Mbagala na apate muda wa kupumzika.