Cc Radio Producer,wadau wa jf habari nina transmitter ya fm radio wat 500 ila nahitaji kufungua radio station ya umbali kias tu,angalau ifikie ata mitaa 5 pekee ila sifahamu kama tcra watakubali maana ela ya kulipia trca sina wala gharama za serikali pia sina ela wadau naomba mnishauri nifanye vp ili niweze fungua radio ? na pia ni umbali upi trca wanaukubali ambao sitaulipia na radio ni kwaajili ya mziki tu msaada wadau kwenye ili
We kiboko huna hela sasa hy redio utaiendeshaje? Hata redio za jamii kule vijijini nadhani unapitia tcra ,OK subiri wataalamu zaidi wajewadau wa jf habari nina transmitter ya fm radio wat 500 ila nahitaji kufungua radio station ya umbali kias tu,angalau ifikie ata mitaa 5 pekee ila sifahamu kama tcra watakubali maana ela ya kulipia trca sina wala gharama za serikali pia sina ela wadau naomba mnishauri nifanye vp ili niweze fungua radio ? na pia ni umbali upi trca wanaukubali ambao sitaulipia na radio ni kwaajili ya mziki tu msaada wadau kwenye ili
We kiboko huna hela sasa hy redio utaiendeshaje? Hata redio za jamii kule vijijini nadhani unapitia tcra ,OK subiri wataalamu zaidi waje
Aahhha hahahaKama blog tu wanataka chao ndio iwe redio urushe free?
Leseni upewe bure? Survey wa mnara ajitolee? OK ni heri uombe fund sehemu, hkn cha buremi bado chaliii sina ela ila ela ya umeme mnara mmoja na vifaa vidogo va studio ninauwezo maana ni nyumbani
Ndugu mbona unataka kufanya kazi tofauti na utaratibu? Utaingia matatani. Unasema kwa ajili ya mziki, kivipi yaani wewe utapiga mziki kuwaburudisha watu ili iweje bila kupata faida yeyote? Sasa huo mradi wako uendelevu wake utatoka wapi? I mean, ulipe umeme, mic, ununue album kisha wewe uwaburudishe watu bila faida?? Ningekushauri ukae chini upige hesabu za mradi wako uone capital utakayotumia kuwekeza humo na returns zake. Kisha ufuate utaratibu usije kupata matatizo ya kurusha matangazo hata kama yanafika mtaa wa tatu toka unapoishi, utahojiwa ndugu yangu.wadau wa jf habari nina transmitter ya fm radio wat 500 ila nahitaji kufungua radio station ya umbali kias tu,angalau ifikie ata mitaa 5 pekee ila sifahamu kama tcra watakubali maana ela ya kulipia trca sina wala gharama za serikali pia sina ela wadau naomba mnishauri nifanye vp ili niweze fungua radio ? na pia ni umbali upi trca wanaukubali ambao sitaulipia na radio ni kwaajili ya mziki tu msaada wadau kwenye ili
Leseni upewe bure? Survey wa mnara ajitolee? OK ni heri uombe fund sehemu, hkn cha bure
Ndugu mbona unataka kufanya kazi tofauti na utaratibu? Utaingia matatani. Unasema kwa ajili ya mziki, kivipi yaani wewe utapiga mziki kuwaburudisha watu ili iweje bila kupata faida yeyote? Sasa huo mradi wako uendelevu wake utatoka wapi? I mean, ulipe umeme, mic, ununue album kisha wewe uwaburudishe watu bila faida?? Ningekushauri ukae chini upige hesabu za mradi wako uone capital utakayotumia kuwekeza humo na returns zake. Kisha ufuate utaratibu usije kupata matatizo ya kurusha matangazo hata kama yanafika mtaa wa tatu toka unapoishi, utahojiwa ndugu yangu.