Kufungua profile NACTE

Kufungua profile NACTE

Hiyo lugha uliyotumia ni ya mwendo kasi,,, tatizo liko wapi? Fafanua zaidi ili wadau wakusaidie
 
Habar wana jf....jamani naomba kujua kama unawez kufungua profile lipya nacte kwa kutumia same index number za mtihani wa form 4 kwan profile lng nalolitumia now linazngua
Hiyo nayo kali mbaba hizo profile sio za instagram,Facebook,watsap wala Twitter hivyo ni vitu vya academic zaidi
 
jaman hata mm mpaka sasa nakuta wameniandikia "Now wait for second selection that will be released soon" inakuaje hapo ndugu maana kuna watu tayar taatifa zimewafikia kuwa wamekua selected one of the choice.nisaidieni hapo inakuaje
 
Mimi nakushauri usubir mpaka tarehe 12 ndo walisema watafungua kwa watu walio kosa selection so mpaka siku hiyoo ya tar 12 had 15 kwa uhakika zaid ndo utapata uhakika kama uapply upya au umechaguliwa so kuwa na subira ndugu mda na nafas bado ipo
 
Mwisho wa kuapply 15 subiri after hiy date...kuna watu waliapply tangu march majib wakatoa wa 7 mwishn
 
Mimi nakushauri usubir mpaka tarehe 12 ndo walisema watafungua kwa watu walio kosa selection so mpaka siku hiyoo ya tar 12 had 15 kwa uhakika zaid ndo utapata uhakika kama uapply upya au umechaguliwa so kuwa na subira ndugu mda na nafas bado ipo
inshaallah nashkuru kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom