Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Habarini wadau napenda kujua njia youote ile nayoweza kuifungua simu ya android without loosing data yaani ikifunguka isifute chochote msaada tafadhaali ni muhimu
simu ilikuwa ya mzee wetu na amefariki sasa kuna taarifa muhimu huwa alikuwa akihifadhi kwenye simu hiyo naombeni msaada .
simu ilikuwa ya mzee wetu na amefariki sasa kuna taarifa muhimu huwa alikuwa akihifadhi kwenye simu hiyo naombeni msaada .