Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,858
Jamani hii sio fair hata kama nilikua situmii official whatssap...
Kwa wale watumiaji wa
1.yowhatssap
2.fm whatssap
3.gbwhatssap
4.whatssap plus
Nadhan wanaona kinachotokea sahivi
Binafsi mie kutumia hii whatssap ya playstore inanishinda haina features nazozitaka jamani nifanyeje ili wasin bann tena yaan ntumie namba nyingine nikisha download
Kwahyo nmefungiwa 80 years seriously?? Jamani