Kufungiwa whatssap

Kufungiwa whatssap

Au tujiongoze mkuu ..turudi kule local?? Kabla hatuja tumbuliwa
na mimi nimewaza kufanya hvyo ila ngoja nisubirie tu ban ya masaa 24 kama ntapewa nisepe kabisa kwa official
 
na mimi nimewaza kufanya hvyo ila ngoja nisubirie tu ban ya masaa 24 kama ntapewa nisepe kabisa kwa official
Inabidi na Mimi niwe mbishi kidogo kama wewe..bila ban hamna kuhama
 
YoWhatsapp hili tatizo nafikiri bado halipo, maana natumia lakini sioni tatizo na tena jana tu nime-update new version natumia kama kawaida...
Hata wa yowhatssap limetukumba mkuu ww subiri zamu yako
 
Ndo nini hicho kitu eti! Unapewa ban ukifanya nini tena
 
YoWhatsapp hili tatizo nafikiri bado halipo, maana natumia lakini sioni tatizo na tena jana tu nime-update new version natumia kama kawaida...
Hiyo ya update nishapigwa ban nikarudi tuu official japo inaniboa
 
Jf mtu akila bann ya wiki tu ni kimbembe...sasa we umelimwa ya miaka 80
 
muwe mnaupdate fasta mnapoletewa tu sms ya kuapdate.

ilaa du miaka 80
 
Mm baada ya kunifanyia huo usenge ,nimefuta whatsap...nikadownload yowhatsap nikajisajili kwa namba nyingine...saiv mambo fresh....ila wakizngua bhc....ntarud nyumbani tu
 
Jamani hii sio fair hata kama nilikua situmii official whatssap...

Kwa wale watumiaji wa
1.yowhatssap
2.fm whatssap
3.gbwhatssap
4.whatssap plus

Nadhan wanaona kinachotokea sahivi
Binafsi mie kutumia hii whatssap ya playstore inanishinda haina features nazozitaka jamani nifanyeje ili wasin bann tena yaan ntumie namba nyingine nikisha download

Kwahyo nmefungiwa 80 years seriously?? JamaniView attachment 1124314
Afu hao jamaa vichaa kweli eti wanasema your temporary banned ivi kweli 80 years? Ni temporary?
 
Back
Top Bottom