Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,490
Tumia jf tu
Hv umeniona au? 😂😂😂Wachepukaji wanaijua vizuri sana
Ni kweli naona limewakumba wa gb watsap tu..ila mwenzio akinyolewa zako tia maji tujiandae tu
K
Hv umeniona au? 😂😂😂
Nenda Google downloadNdio inapatikanaje
Hahaha wewe tenaNdo nini hicho kitu eti! Unapewa ban ukifanya nini tena
Nieleweshe hebuHahaha wewe tena
Whatsapp za Google hizo sasa whatsapp official ndio wanawapa ban no zao wanazozitumia hizo za googleNieleweshe hebu
MmmhWhatsapp za Google hizo sasa whatsapp official ndio wanawapa ban no zao wanazozitumia hizo za google
Nilichokiandika haujakielewa au mbona kinaeleweka jamani unauliza tenaMmmh
Ndo nini eti
Aliyetengeneza whatsapp akaisajili Google ili iwe official application inayotambulika Google Playstore. Sasa kuna vijana wataalam wa hizi mambo wakaistudy vyema whatsapp na kubaini mapungufu wakaunda zakwao na kuzipatia majina (kama whatsapp plus, Gbwhatsapp, yowhatsapp, fmwhatsapp nk) zenye features nzuri zaidi ya hii whatsapp ya google. Japo application zao hazipo Playstore lakini zikawa zinapatikana huku kwenye takataka zinginezo zilimwagwa Google search engine... .. Kisha ukishadownload hizi application inakubidi uifanyie setting simu yako ili uweze kuinstall application from unknown sources.Mmmh
Ndo nini eti
Asante sana Mkuu!Aliyetengeneza whatsapp akaisajili Google ili iwe official application inayotambulika Google Playstore. Sasa kuna vijana wataalam wa hizi mambo wakaistudy vyema whatsapp na kubaini mapungufu wakaunda zakwao na kuzipatia majina (kama whatsapp plus, Gbwhatsapp, yowhatsapp, fmwhatsapp nk) zenye features nzuri zaidi ya hii whatsapp ya google. Japo application zao hazipo Playstore lakini zikawa zinapatikana huku kwenye takataka zinginezo zilimwagwa Google search engine... .. Kisha ukishadownload hizi application inakubidi uifanyie setting simu yako ili uweze kuinstall application from unknown sources.
Watu wengi walipoonja utamu wa hizi whatsapp from unknown sources wakaanza kuikacha official whatsapp, ndipo mwenye mali alipobaini kwamba anapoteza watumizi wa application yake kwa kasi ya moto wa petrol mwituni. Na kwakuwa yeye anazo access za Google na anazo credentials za watumizi wote kaamua rasmi sasa awashughulikie mmoja baada ya mmoja, na alishatoa taarifa hii tangu March 14 (if I'm not wrong).
Nadhani sasa utakuwa umeelewa kidogo.