Labda utumie calculator ndo ataelewaNilichokiandika haujakielewa au mbona kinaeleweka jamani unauliza tena
Sijakuelewa eleza vzrDownload whatsapp ya aina nyingine hlf uitumie hyohyo usibadilishe badilishe, ila yowhatsapp ndo itakuwa nzr zaid ila usibadilibadili

Anaharibu biashara za watuMiaka 80, kwani umebaka mkuu
Google ndo zinakopatikanaIm really out of touch here.... What are those other watsapp..!!?
Sizielewi kabisa...na wapi zinapatikana and how!??
Heee na sisi Wa GB wasap tena!?Ni kweli naona limewakumba wa gb watsap tu..ila mwenzio akinyolewa zako tia maji tujiandae tu
Ambacho huelewi ni nini sasa, mwizi wewe.Jamani hii sio fair hata kama nilikua situmii official whatssap...
Kwa wale watumiaji wa
1.yowhatssap
2.fm whatssap
3.gbwhatssap
4.whatssap plus
Nadhan wanaona kinachotokea sahivi
Binafsi mie kutumia hii whatssap ya playstore inanishinda haina features nazozitaka jamani nifanyeje ili wasin bann tena yaan ntumie namba nyingine nikisha download
Kwahyo nmefungiwa 80 years seriously?? JamaniView attachment 1124314
Hizo watsup tamu mno br.eg mtu akituma Tex akaifuta, we utakipata hivyovivyo kwa status,, pia last seen na mengine kibao! Siyakumbuki.Im really out of touch here.... What are those other watsapp..!!?
Sizielewi kabisa...na wapi zinapatikana and how!??
Afadhal aiseeLoading......View attachment 1126296
ReadyLoading......View attachment 1126296
Loading......View attachment 1126296
Duuh et yobasha ah huyo hata wasapu yake situmii
Jamani hii sio fair hata kama nilikua situmii official whatssap...
Kwa wale watumiaji wa
1.yowhatssap
2.fm whatssap
3.gbwhatssap
4.whatssap plus
Nadhan wanaona kinachotokea sahivi
Binafsi mie kutumia hii whatssap ya playstore inanishinda haina features nazozitaka jamani nifanyeje ili wasin bann tena yaan ntumie namba nyingine nikisha download
Kwahyo nmefungiwa 80 years seriously?? JamaniView attachment 1124314