KijanaHuru JF-Expert Member Jan 7, 2017 1,822 2,290 Oct 11, 2019 #1 Habari ndugu zangu hivi insta ukiwa haupost picha za hovyo wala hautukani watu yaani upo na mambo yako binafsi ni nini kinasababisha kufungiwaz kwa account? Sababu zingine tofauti na ziwle za kuweka picha mbovu nk
Habari ndugu zangu hivi insta ukiwa haupost picha za hovyo wala hautukani watu yaani upo na mambo yako binafsi ni nini kinasababisha kufungiwaz kwa account? Sababu zingine tofauti na ziwle za kuweka picha mbovu nk
Mr Devil JF-Expert Member Jul 7, 2019 10,119 21,751 Oct 11, 2019 #2 kujiongezea followers fake (kuboost followers ) wengine wata ongezea
wiseboy JF-Expert Member Mar 22, 2011 2,931 3,299 Oct 11, 2019 #3 Mr Devil said: kujiongezea followers fake (kuboost followers ) wengine wata ongezea Click to expand... Kuna mda ukikaa bila kupost au kuirun wanajua umekufa, hawakai na account za marehemu zaidi ya mwaka
Mr Devil said: kujiongezea followers fake (kuboost followers ) wengine wata ongezea Click to expand... Kuna mda ukikaa bila kupost au kuirun wanajua umekufa, hawakai na account za marehemu zaidi ya mwaka
KijanaHuru JF-Expert Member Jan 7, 2017 1,822 2,290 Oct 11, 2019 Thread starter #4 Mr Devil said: kujiongezea followers fake (kuboost followers ) wengine wata ongezea Click to expand... Sawa lakini hivyo hata sifanyi sababu nyingine je?
Mr Devil said: kujiongezea followers fake (kuboost followers ) wengine wata ongezea Click to expand... Sawa lakini hivyo hata sifanyi sababu nyingine je?
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 19,137 41,733 Oct 11, 2019 #5 japokuwa huna mbele wala nyuma lkn nasikitika kukuambia umedukuliwa