Kufungiwa account instagram

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Habari ndugu zangu

hivi insta ukiwa haupost picha za hovyo wala hautukani watu yaani upo na mambo yako binafsi ni nini kinasababisha kufungiwaz kwa account?

Sababu zingine tofauti na ziwle za kuweka picha mbovu nk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom