Kufunga vituo vya mafuta ni dharau kwa wananchi

Wanaotumia vituo vya mafuta ni wananchi, unapovifunga kwa wingi namna hii unalenga kuwaumiza watumiaji wa vituo hivyo zaidi kuliko wamiliki wake. Inakuwaje mtu asifikirie mateso yatakayowapata wananchi waliowengi badala ya kumuangalia mmiliki wa kituo tu? Bila shaka aliyetoa amri ya kufunga vituo hivyo anafahamu uwezo mdogo wa wananchi katika kuhoji,na kudai haki zao zinapovunjwa. Hivi hakuna njia nyingine za kuwafanya wenye vituo vya mafuta wafunge mashine za kutoa risiti bila kusababisha usumbufu kwa wananchi?
hvi we jamaa ni mtanzania na akili yako ipo timamu,,, kweli je kutokulipa kodi wenye vituo vya mafuta sio zarau kwa taifa na wananchi wake,, jombaaa amka acha kuwa na mawazo finyuuuu,,, kodi ni lazma kwa maendeleo tena wafungiwe mpaka watakapo toa risiti za efd lazma tuwe na heshima katka vitu vingine tuache ushabikiii

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hakuna asiyetaka watu walipe kodi kwani kazi ya kodi inafahamika. Lakini sayansi iko wapi kwenye kuutekeleza mpango huu wa kufunga vituo vya mafuta? Hakukuwa na udharura wowote kwenye jambo hili maana wafanyabiashara hao wa mafuta ndio waliokuwa wakichangia hela za kampeni za vyama vyetu kwa miaka mingi sana. Rais Kikwete aliweza kujenga barabara zote nchi nzima, aliweza kujenga UDOM, Hospitali ya Moyo, nyumba za askari, shule, viwanja vya ndege, uwandishi wa katiba, vitambulisho vya taifa nk kwa vyanzo vya mapato hivihivi, sasa kuna udharura gani kwenye kutoa risiti kiasi cha kusababisha foleni ndefu kwenye sheli kiasi hiki? Sayansi iko wapi hapa? Kwani wangepewa muda wa mwezi mmoja kutekeleza ingekuwaje?
 
Hakuna maendeleo pasipo maumivu,chochote unachokiona cha maana kimefanyika kunawalio umia ili kufanikisha,hata hizi reli kunahata ambao walipoteza maisha wakati wa mkoloni ila Leo tunasifia ndio usafiri wa bei rahisi,tuiunge mkono serikali ili ifikie malengo yake ya kutuletea maendeleo endelevu,

Kama umefanikiwa japo kwa kiasi katika mipango yako binafsi ya maisha,uki audit vizuri utaona kuna namna ulikubali kujinyima/kujiumiza either kwa kufanya Kazi kwa bidii zaidi au kubana sana matumizi holela au vyote kwa pamoja.

Kila approach inaweza kua na mapungufu yake ila tuwe optimistic kwamba yote nikatika kutafuta kuisogeza tanzania yetu mbele,let's be positive bana,

Good night
 
Maisha bora yana gharama zake kama hizi,huwa hayaji tu kama radi.

Imeondolewa kodi ya barabarani ikaingizwa kwenye mafuta,mkafurahi sasa mtaendesha magari ya uwani,lakini serikali itapata vipi hiyo hela kama wenye mafuta wanakimbikimbia!!!!!

Mnalalamika kukosa huduma tena,yaani nyie mpige misele lakini serikali haiambulii kitu.
 
Acha siasa zungumzia kodi inayopotea kwenye hizi sheli. Mi mwenyewe sheli zilizofungwa hichi kipindi hata zikifunguliwa siendi tena maana nshajua ni kundi la wakwepaji

Sent from potent potables
 
Mwanza ni puma na total ndo vina operates... ni shida. Kwa nn wasiwapige faina ila huduma watoe
Faini halafu waendelee? Yaani unampiga faini mwizi na kumuacha aendelee kuiba?

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Maisha bora yana gharama zake kama hizi,huwa hayaji tu kama radi.

Imeondolewa kodi ya barabarani ikaingizwa kwenye mafuta,mkafurahi sasa mtaendesha magari ya uwani,lakini serikali itapata vipi hiyo hela kama wenye mafuta wanakimbikimbia!!!!!

Mnalalamika kukosa huduma tena,yaani nyie mpige misele lakini serikali haiambulii kitu.
Kwani waligawiwa mafuta bure kule walikoyapata? Walivyoyanunua hawakukatwa kodi huko? Walioyaingiza nchini hawakulipa ushuru TRA?
 
Wazir hana akili mzuri utawala wa chuki tu kwenda mbele tizama raia wanateseka na kupata HASARA wakipiga hatua moja mbele mnawarudisha hatua tano nyuma
Walipewa mda wa kufunga mashine tokea October 2016 mpaka 01/07/2017 muda wa miezi 8. Walitakiwa kuwa washafunga izo mashine. Apo wanapigwa faini ya kutotii sheria ya nchi na ukwepaji Kodi
 
Wanaotumia vituo vya mafuta ni wananchi, unapovifunga kwa wingi namna hii unalenga kuwaumiza watumiaji wa vituo hivyo zaidi kuliko wamiliki wake. Inakuwaje mtu asifikirie mateso yatakayowapata wananchi waliowengi badala ya kumuangalia mmiliki wa kituo tu? Bila shaka aliyetoa amri ya kufunga vituo hivyo anafahamu uwezo mdogo wa wananchi katika kuhoji,na kudai haki zao zinapovunjwa. Hivi hakuna njia nyingine za kuwafanya wenye vituo vya mafuta wafunge mashine za kutoa risiti bila kusababisha usumbufu kwa wananchi?
Tangu lini jamii sisiem ikawa na akili, kuanzia baba yao hadi watoto bogas wote.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nimeona siyo vyote nikauliza vilivyofungwa vimefanyaje kumbe havitumii machine maalum ya pampu ya kutolea risiti.puma total nimewakuta wanapiga mzigo kwa kuwa waliweka machine hizo kitambo.ila GBP taarifa niliyoiona mitandaoni na wao juzi wamenunua hiyo machine na kufunguliwa.Luna kamchezo hawa wauza mafuta wanakafanya.Ila TRA watatusaidia hats ule wizi wao was kukuwekea mafuta pungufu kwani ukiweka 10000 akijaza kiujanja ya 5000 risiti itamuumbua.
Kwel mkuu hasa oilcom wana huo mchezo
 
wanapenda tension watawala wa msimu huu sijui wamerogwa??yani jitu linajiita lisomi lakini boya tu for how long hili jambo walidiscuss na hawa wenye vituo?walifikia wapi,mbona tulikuwa hatufahamishwi leo wana apply maujinga yao wanataka tujue tuanzekuchukiana wenyewe kwa wenyewe kweli ccm imeishiwa pumzi,haina wabunifu wala viongozi imejaa mazwazwa yenye title fake
 
Huwezi kutatua tatizo dogo kwa kutengeneza tatizo kubwa. Kwa kukosa mafuta vituoni na foleni ndefu kwenye vituo kuna matatizo yatakayojitokeza kama vile magari kuzima kwa kuishiwa mafuta, wagonjwa kuchelewa matibabu, uchumi kuyumba, nyumba kuungua moto nk wachilia mbali wafanyakazi kuchelewa kazini. Kwanini basi tusifunge vituo kwa awamu kama vile Wilaya, Mikoa au Kanda kama vile tulivyozima tv za analog
Huwez kutibu tatizo la jipu kama huwez kuvumilia maumivu yake, acha tuvumilie maana makusanya ya kodi kutoka hivyo vituo tutatumia kufanya maendeleo kwa nchi yetu
 
Hakuna asiyetaka watu walipe kodi kwani kazi ya kodi inafahamika. Lakini sayansi iko wapi kwenye kuutekeleza mpango huu wa kufunga vituo vya mafuta? Hakukuwa na udharura wowote kwenye jambo hili maana wafanyabiashara hao wa mafuta ndio waliokuwa wakichangia hela za kampeni za vyama vyetu kwa miaka mingi sana. Rais Kikwete aliweza kujenga barabara zote nchi nzima, aliweza kujenga UDOM, Hospitali ya Moyo, nyumba za askari, shule, viwanja vya ndege, uwandishi wa katiba, vitambulisho vya taifa nk kwa vyanzo vya mapato hivihivi, sasa kuna udharura gani kwenye kutoa risiti kiasi cha kusababisha foleni ndefu kwenye sheli kiasi hiki? Sayansi iko wapi hapa? Kwani wangepewa muda wa mwezi mmoja kutekeleza ingekuwaje?
Ongea point kwahiyo kama walichangia kampeni ndiyo wafanyaje sasa waachwe tu na muda wa kufunga hizo mashine walipewa tokea mwaka Jana . dunia kote uchumi hutegemea zaid kodi kutokana na vyanzo mbali mbali ,tena nchi za ulaya ukikwepa kodi ni kosa kubwa sana na adhabu yake ni kubwa sana vile vile.

Walipe kodi tu huo
 
Walipewa mda wa kufunga mashine tokea October 2016 mpaka 01/07/2017 muda wa miezi 8. Walitakiwa kuwa washafunga izo mashine. Apo wanapigwa faini ya kutotii sheria ya nchi na ukwepaji Kodi
Kwani mashine hizo zinauzwa duka gani hapa nchini kwa bei gani?
 
Kwani waligawiwa mafuta bure kule walikoyapata? Walivyoyanunua hawakukatwa kodi huko? Walioyaingiza nchini hawakulipa ushuru TRA?
Ww kama hujui kitu hebu tuliza kinyeo wakuelekeza wenzio ,umuhimu wa kulipa kodi
 
wanapenda tension watawala wa msimu huu sijui wamerogwa??yani jitu linajiita lisomi lakini boya tu for how long hili jambo walidiscuss na hawa wenye vituo?walifikia wapi,mbona tulikuwa hatufahamishwi leo wana apply maujinga yao wanataka tujue tuanzekuchukiana wenyewe kwa wenyewe kweli ccm imeishiwa pumzi,haina wabunifu wala viongozi imejaa mazwazwa yenye title fake
Ww ni hufuatilii mambo ya msingi serikal walishatoa Maelezo tokea mwaka jana had tare 1/7/2017 kila kituo wafunge mashine hizo
 
Ongea point kwahiyo kama walichangia kampeni ndiyo wafanyaje sasa waachwe tu na muda wa kufunga hizo mashine walipewa tokea mwaka Jana . dunia kote uchumi hutegemea zaid kodi kutokana na vyanzo mbali mbali ,tena nchi za ulaya ukikwepa kodi ni kosa kubwa sana na adhabu yake ni kubwa sana vile vile.

Walipe kodi tu huo
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hadi msikitini. Wenye vituo vya mafuta walikuwa hawalipi kodi hiyo ili kufidia hela walizoombwa kuchangia kampeni, sasa tunashituka nini? Ukiwachunguza wenye vituo hivyo wengi ni wanachama wa chama fulani cha siasa. Kiongozi mmoja aliwahi kuwaambia kama mnataka biashara zetu ziende vizuri changieni kampeni zetu
 
Walipewa mda wa kufunga mashine tokea October 2016 mpaka 01/07/2017 muda wa miezi 8. Walitakiwa kuwa washafunga izo mashine. Apo wanapigwa faini ya kutotii sheria ya nchi na ukwepaji Kodi
Na wewe akili zako kama za wazir hiyo fine umeona au Vituo vinefungiwa? Wanateseka wananchi kwa hasara
 
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hadi msikitini. Wenye vituo vya mafuta walikuwa hawalipi kodi hiyo ili kufidia hela walizoombwa kuchangia kampeni, sasa tunashituka nini? Ukiwachunguza wenye vituo hivyo wengi ni wanachama wa chama fulani cha siasa. Kiongozi mmoja aliwahi kuwaambia kama mnataka biashara zetu ziende vizuri changieni kampeni zetu
Mkuu nisije kupigwa banned
Kiufupi wewe ni fala unaleta habari za uchama na uchumi wapi na wapi

Jifunze kwa Antony dialo anayemilik Redio free na star Tv kafungiwa ofisi zake pamoja na kuwapendelea kote ccm lakin serikal inamdai kodi ya billion 4 ni kwa sababu serikal ni serikal hawahitaji uchama kwenye uchumi

Kama hujui kitu tulia wakuelekezee wanao jua
 
Ww kama hujui kitu hebu tuliza kinyeo wakuelekeza wenzio ,umuhimu wa kulipa kodi
Bila kinyeo wewe usingefika hapo ulipo. Issue sio kulipa kodi ila namna ya kuilipa kodi. Hata asiye msomi asingeikusanya kwa aina hiyo, katika utekelezaji lazima angefikiria kwanza sayansi ya uchumi utaotetereka kwa watu kukosa mafuta na foleni ndefu vituoni, sayansi ya afya kwa wagongwa na sayansi ya jamii.
 
Back
Top Bottom