Kufunga vituo vya mafuta ni dharau kwa wananchi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,255
Reaction score
16,185
Wanaotumia vituo vya mafuta ni wananchi, unapovifunga kwa wingi namna hii unalenga kuwaumiza watumiaji wa vituo hivyo zaidi kuliko wamiliki wake. Inakuwaje mtu asifikirie mateso yatakayowapata wananchi waliowengi badala ya kumuangalia mmiliki wa kituo tu? Bila shaka aliyetoa amri ya kufunga vituo hivyo anafahamu uwezo mdogo wa wananchi katika kuhoji,na kudai haki zao zinapovunjwa. Hivi hakuna njia nyingine za kuwafanya wenye vituo vya mafuta wafunge mashine za kutoa risiti bila kusababisha usumbufu kwa wananchi?
 
_20170715_083750.JPG

May Allah bless Me and You
 
NENO LA MUNGU LINASEMA, KAMA JICHO LAKO LINAKUFANYA UTENDE DHAMBI NI BORA ULING'OE, NI BORA UENDE PEPONI NA JICHI MOJA KULIKO KWENDA JEHANAMU NA MACHO MAWILI.
WAUZA MAFUFA WENGI WAMEKUWA HAWALIPI KODI KWA MUDA MREFU. HUU ULIKUWA MFUMO AMBAO VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI NA SIASA WALIKUWA WANAUJUA NA KUULINDA. UTAJIRI WA HARAKA ULIKUWA UNAPATIKANA KWENYE BIASHARA YA DIESEL NA PETROL KWA SABABU YA KUTOKULIPA KODI NA KUUZA MAFUTA YALIYOTAKIWA KWENDA INCHI JIRANI NA AMBAYO HAYAKULIPIWA KODI BANDARINI.
KWA HIYO NI BORA TUUMIE KWA SIKU CHACHE LAKINI TUPATE TIBA YA KUDUMU.
MWALIMU NYERERE ALISEMA " VIINCHI CORRUPT HUWA HAVIKUSANYI KODI NA BADALA YAKE WATOZA USHURU HUKIMBIZANA NA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO"
WATU WANAOUZA SODA NA BIA TENA KWA BEI ZA REJAREJA WAMEBANWA MPAKA WANATUMIA MASHINE ZA EFD NA KWA MUDA MREFU SASA. WAUZA MAFUTA WAO WANAOGOPWA NA MAMENEJA WA TRA WA MIKOA KWA SABABU YA KULINDA AJIRA ZAO AU KWA SABABU YA KUPEWA RUSHWA.
 
Lengo zuri...lkn namna ya kulifanya lengo la kukusanya kodi ndo wakati mwingine linakosa utaratibu....hivi alternatives zote zimekosekana ?

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 542504

May Allah bless Me and You

Nimeona siyo vyote nikauliza vilivyofungwa vimefanyaje kumbe havitumii machine maalum ya pampu ya kutolea risiti.puma total nimewakuta wanapiga mzigo kwa kuwa waliweka machine hizo kitambo.ila GBP taarifa niliyoiona mitandaoni na wao juzi wamenunua hiyo machine na kufunguliwa.Luna kamchezo hawa wauza mafuta wanakafanya.Ila TRA watatusaidia hats ule wizi wao was kukuwekea mafuta pungufu kwani ukiweka 10000 akijaza kiujanja ya 5000 risiti itamuumbua.
 
NENO LA MUNGU LINASEMA, KAMA JICHO LAKO LINAKUFANYA UTENDE DHAMBI NI BORA ULING'OE, NI BORA UENDE PEPONI NA JICHI MOJA KULIKO KWENDA JEHANAMU NA MACHO MAWILI.
WAUZA MAFUFA WENGI WAMEKUWA HAWALIPI KODI KWA MUDA MREFU. HUU ULIKUWA MFUMO AMBAO VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI NA SIASA WALIKUWA WANAUJUA NA KUULINDA. UTAJIRI WA HARAKA ULIKUWA UNAPATIKANA KWENYE BIASHARA YA DIESEL NA PETROL KWA SABABU YA KUTOKULIPA KODI NA KUUZA MAFUTA YALIYOTAKIWA KWENDA INCHI JIRANI NA AMBAYO HAYAKULIPIWA KODI BANDARINI.
KWA HIYO NI BORA TUUMIE KWA SIKU CHACHE LAKINI TUPATE TIBA YA KUDUMU.
MWALIMU NYERERE ALISEMA " VIINCHI CORRUPT HUWA HAVIKUSANYI KODI NA BADALA YAKE WATOZA USHURU HUKIMBIZANA NA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO"
WATU WANAOUZA SODA NA BIA TENA KWA BEI ZA REJAREJA WAMEBANWA MPAKA WANATUMIA MASHINE ZA EFD NA KWA MUDA MREFU SASA. WAUZA MAFUTA WAO WANAOGOPWA NA MAMENEJA WA TRA WA MIKOA KWA SABABU YA KULINDA AJIRA ZAO AU KWA SABABU YA KUPEWA RUSHWA.
Asante gt

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona siyo vyote nikauliza vilivyofungwa vimefanyaje kumbe havitumii machine maalum ya pampu ya kutolea risiti.puma total nimewakuta wanapiga mzigo kwa kuwa waliweka machine hizo kitambo.ila GBP taarifa niliyoiona mitandaoni na wao juzi wamenunua hiyo machine na kufunguliwa.Luna kamchezo hawa wauza mafuta wanakafanya.Ila TRA watatusaidia hats ule wizi wao was kukuwekea mafuta pungufu kwani ukiweka 10000 akijaza kiujanja ya 5000 risiti itamuumbua.
Ni kweli PUMA na TOTAL na Petro wao wamefunga,nimeona along Bagamoyo Road.
Ila kuna maeneo huko mikoani MJI MZIMA hakuna huduma.
Jana nimeshuhudia foleni toka VITUONI hadi main roads

May Allah bless Me and You
 
Ni kweli PUMA na TOTAL na Petro wao wamefunga,nimeona along Bagamoyo Road.
Ila kuna maeneo huko mikoani MJI MZIMA hakuna huduma.
Jana nimeshuhudia foleni toka VITUONI hadi main roads

May Allah bless Me and You
Mfano mji gani ambao hakuna huduma kabisa?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mwanza ni puma na total ndo vina operates... ni shida. Kwa nn wasiwapige faina ila huduma watoe
 
NENO LA MUNGU LINASEMA, KAMA JICHO LAKO LINAKUFANYA UTENDE DHAMBI NI BORA ULING'OE, NI BORA UENDE PEPONI NA JICHI MOJA KULIKO KWENDA JEHANAMU NA MACHO MAWILI.
WAUZA MAFUFA WENGI WAMEKUWA HAWALIPI KODI KWA MUDA MREFU. HUU ULIKUWA MFUMO AMBAO VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI NA SIASA WALIKUWA WANAUJUA NA KUULINDA. UTAJIRI WA HARAKA ULIKUWA UNAPATIKANA KWENYE BIASHARA YA DIESEL NA PETROL KWA SABABU YA KUTOKULIPA KODI NA KUUZA MAFUTA YALIYOTAKIWA KWENDA INCHI JIRANI NA AMBAYO HAYAKULIPIWA KODI BANDARINI.
KWA HIYO NI BORA TUUMIE KWA SIKU CHACHE LAKINI TUPATE TIBA YA KUDUMU.
MWALIMU NYERERE ALISEMA " VIINCHI CORRUPT HUWA HAVIKUSANYI KODI NA BADALA YAKE WATOZA USHURU HUKIMBIZANA NA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO"
WATU WANAOUZA SODA NA BIA TENA KWA BEI ZA REJAREJA WAMEBANWA MPAKA WANATUMIA MASHINE ZA EFD NA KWA MUDA MREFU SASA. WAUZA MAFUTA WAO WANAOGOPWA NA MAMENEJA WA TRA WA MIKOA KWA SABABU YA KULINDA AJIRA ZAO AU KWA SABABU YA KUPEWA RUSHWA.
Huwezi kutatua tatizo dogo kwa kutengeneza tatizo kubwa. Kwa kukosa mafuta vituoni na foleni ndefu kwenye vituo kuna matatizo yatakayojitokeza kama vile magari kuzima kwa kuishiwa mafuta, wagonjwa kuchelewa matibabu, uchumi kuyumba, nyumba kuungua moto nk wachilia mbali wafanyakazi kuchelewa kazini. Kwanini basi tusifunge vituo kwa awamu kama vile Wilaya, Mikoa au Kanda kama vile tulivyozima tv za analog
 
Wazir hana akili mzuri utawala wa chuki tu kwenda mbele tizama raia wanateseka na kupata HASARA wakipiga hatua moja mbele mnawarudisha hatua tano nyuma
 
Back
Top Bottom