seph0408
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 1,180
- 703
Nilijua na kabla ya ndoa mimba huwa zinatoka au hazishikiii[emoji23] [emoji2]Kikimani sex kabla ya ndoa ni dhambi... Kwa hiyo ata hiyo mimba si sawa... Ila ndo ishatokea tena!
Mimi naona ni bora tu mfunge ndoa ili msizae bastard!