Kwa jicho hilo kweli nitaponaSubiri siku kuu ziishe ndo tukusaidie View attachment 975445

au ndo unataka kukimbia majukumu ya kifamilia wakati huu wa sikukuu?Hivi ukifanya hvi naweza endelea kutumia internet kama kawaida?Piga *35*0000#
Maji yapo shingoni naombeni msaada wenu


waweke blacklist usiowataka wakupate hewani kama simu yako ina hiyo hudumaSecret Sms And CallPoa, ila me naomba ambayo wao wasiweze kunipata hewani ila me naweza kuwapigia.
Kutoa #35*0000#Asante sana mkuu, kutoa lock nafanyaje mkuu