Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Viwanja viwili vinategemea kuwaka moto siku ya mwisho wa kampeni trh 24.

Mgombea wa UKAWA mh Edward Lowassa atakuwa Dar es salaam kwenye viwanja vya Jangwani wakati mgombea wa CCM mh Pombe Magufuli atakuwa jijini Mwanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba imejulikana.

Katika rekodi zangu hii ni mara ya kwanza kwa CCM kufunga kampeni zake nje ya jiji la Dar es salaam.
 
Kanda ya ziwa ina kura milioni sita
 
Chadema wawahi kabisa coverage ya television kabka hawa jamaa hawajalipia zote kwa siku tatu mfululizo.
Kama wamekumbuka kuwahi kiwanja cha Jangwani live coverage watakuwa wanakumbuka.
 
Kanda ya ziwa ina kura milioni sita

Haina shida siku hiyo moja, haitabadili chochote, kila mtu atakuamekwisha amua nani atampigia kura, hiyo ni siku ya kuhitimisha tu. Lakini pia usisahau Dar pekee ina kura zaidi ya 2.5m!
 
Sio kubadilisha mawazo hii ni kuonesha appreciation kwa support.
 
Hatutarajii jipya siku ya mwisho.
 
Hiyo ni karibu mikoa mitano ila Dar pekee ina kura mil. 3.

Ndio sasa ujue huwezi kumtumia Gwajima kama strategist wako. Hizo milioni 3 za Dar ni za kugawana. Ila za Arusha, Moshi na Manyara ni za uhakika. Kuonesha yupo pamoja nao angefungia kampeni Sheikh Amri Abeid.
 
Nimezuiwa kwenda kumpigia kura rais nimtakaye kwa hiyo mtaobahatika kwenda kupiga kura ninawaombea .
 
Ndio sasa ujue huwezi kumtumia Gwajima kama strategist wako. Hizo milioni 3 za Dar ni za kugawana. Ila za Arusha, Moshi na Manyara ni za uhakika. Kuonesha yupo pamoja nao angefungia kampeni Sheikh Amri Abeid.
Ikiwa ni za uhakika ndio maana hafungii huko
 
Oyoooooo!Jamani nimefurahije?
Can't wait kabisa kwenda Jangwani kwa mara nyingine,ile mara ya kwanza nilichelewa nilienda saa 7,this time nitaenda saa 4 asubuhi maana patakuwa hapatoshi!
Wanamabadiliko tukutane Jangwani October 24.
 
Ikiwa ni za uhakika ndio maana hafungii huko

OK hatuna haja ya kubishana, naona ki logistics tu isingewezeka vyama vyote vifungie kampeni zao Jangwani au Kirumba.
 
Back
Top Bottom