Habari zenu wanaJF
Je hii mitandao ya simu inahuduma za kufungia baadhi ya number kupiga au kutuma ujumbe mfupi,kutuma salio,kutuma fedha kwenda number fulani isifanyike
Mfano number ikipiga isiipate number fulani
Number ikiituma message isimfikie mtu
Salio likitumwa lisifike
Tafadhali nipigie isifike kuna hizo huduma kwa anaefahamu!!???