BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Wakuu,
Nina ndugu yangu amefunga camera sebuleni kwake pamoja na dining. Nilishawahi kubishana nae sana kuhusu swala hilo, nilimwambia ya kwamba anakosesha watu amani wakiwa maeneo hayo. Hawawezi kuwa huru, watakuwa wanaigiza tu kwa kuwa wanajua kuna uwezekano wa kuonwa ikiwa muhusika akiamua kuangalia yaliyojiri siku husika nyumbani kwake.
Kama lengo ni kuweka usalama mi nadhani camera za nje zinatosha sana kuliko kuweka camera mpaka ndani ya nyumba kama mpo bank.
Je, wewe unadhani ni sahihi kufunga camera sebuleni na sitting room?
MweeeSasa si bora huyo Mkuu? Mimi kuna ' Njemba ' naifahamu kabisa imemuwekea Kamera ' Mbunyeni ' Mkewe. Kazi ipo!
Mimi ni mfunga cameraWakuu,
Nina ndugu yangu amefunga camera sebuleni kwake pamoja na dining. Nilishawahi kubishana nae sana kuhusu swala hilo, nilimwambia ya kwamba anakosesha watu amani wakiwa maeneo hayo. Hawawezi kuwa huru, watakuwa wanaigiza tu kwa kuwa wanajua kuna uwezekano wa kuonwa ikiwa muhusika akiamua kuangalia yaliyojiri siku husika nyumbani kwake.
Kama lengo ni kuweka usalama mi nadhani camera za nje zinatosha sana kuliko kuweka camera mpaka ndani ya nyumba kama mpo bank.
Je, wewe unadhani ni sahihi kufunga camera sebuleni na sitting room?
We ni noma mkuu...wa kipekee sana humu jfSasa si bora huyo Mkuu? Mimi kuna ' Njemba ' naifahamu kabisa imemuwekea Kamera ' Mbunyeni ' Mkewe. Kazi ipo!
We ni noma mkuu...wa kipekee sana humu jf
Hio chai ya leo mkuu ya barid sanaSasa si bora huyo Mkuu? Mimi kuna ' Njemba ' naifahamu kabisa imemuwekea Kamera ' Mbunyeni ' Mkewe. Kazi ipo!
Watoto tu? Vipi kuhusu watu wabaya wakizivuka za nje kwa ujanja na kuingia ndani? Za sebuleni hazitosaidia?Kwa usalama wa watoto ni sawa. Yakitokea mengine ni ajali kazini