Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 112
Kama mara nne hivi nimeshuhudia barabara za kati kati ya mji zinafungwa sababu ya msiba. Unakuta nyumba flani kwenye hiyo barabara ina msiba so barabara inafungwa kwa ajili ya shughuli za kimsiba kufanyikia hapo.
Kuna siku benki flani ilikua inazinduliwa so barabara ikafungwa. kwa wakazi wa Mwanza, Graduu za CBE huwa zinapelekea barabara ile kufungwa kwa muda.
Sasa mm sielewi kama ni ruksa kisheria.
Kuna siku benki flani ilikua inazinduliwa so barabara ikafungwa. kwa wakazi wa Mwanza, Graduu za CBE huwa zinapelekea barabara ile kufungwa kwa muda.
Sasa mm sielewi kama ni ruksa kisheria.