Kufundisha na kutafsiri notes

GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,280
2,000
Hapo bila kutafsir unadhan hizi shule za st. Kayumba kuna mtt atakaelewa???

Hao wanafunz wanaokuja sekondari IQ zao zip chini sanaaa
Hata kutamka neno la kingereza ni ishu
Utamfundishaje mtt kama huyo hata kusoma sentens ya kingereza hawezi??

IF IT AINT BROKEN DONT FIX IT

ww mwenyew umefundishwa na hao hao walim ambao leo unawaponda kuwa wanatafsiri notes

DONT HURT THE HANDS THAT FEEDS U

Walim wanafanya kazi kubwa sana katika jamii ya ss
Nyie wazaz mnazalisha watt wenye uwezo mdogo halaf leo hii kuwalaumu wao hawajui kufundisha
Nakubaliana na wewe! I meant no offence!
 
Kichaka12

Senior Member
Dec 11, 2018
103
225
wa
No somo kama Agriculture, Commerce na Biology yanafundishika hadi raha. Ila njoo kwenye Physics ni shida.
Waalimu wanaoongoza kwa kupendwa mashuleni ni Biology na Commerce.
Waalimu wanaochukiwa na wanafunzi ni Maths na Physc.
waafunzi wenyewe hawapendi phy na math!! lakin walimu wanakimbiza fresh
 
Kichaka12

Senior Member
Dec 11, 2018
103
225
Bas sawa...!
Kuna mambo mwili siasa na elimu, elimu ikiingia kwenye siasa ni jambo jema ila siasa ikiingia kwenye elimu hili ni tatizo.
Upande mwingine Education is transmission of knowledge, skills and attitude ndio maana tuna three domains ambazo ni cognitive, affection na psychomotor mambo yote hayo kwa asilimia kubwa yanahusisha invisible elements ambazo impact zake ni visible, Tufanye nini? Jambo la msingi ni kusolve problems and challenges ambazo zinablock hiyo education kuwa complete ina maana kuweka conducive environment of teaching and learning activities. What are they, we know them miaka nenda miaka rudi. Kuna sehemu elimu yetu tume i dump.
tunahitaji kubadalisha nini sasa?? maana mazigira mazuri baaadhi ya maeneo yapo ila elimu inayotolewa ni mbovu...
 
Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
793
1,000
Walimu wafundishe kwani mmewapa stahiki zao?

Labda sekta binafsi huko,lakini serikalini wacheni walimu wafanye watajavyo.
Upo sahihi,kwanini ujali na kuumiza kichwa wakati alokuajili hakujali?
Siku serikali itakapogeukia maslahi na kuboresha mazingira ya shule zake walimu watafanya hayo na mengine mengi,huwezi tegemea maziwa ya kutosha wakati humlishi ng'ombe vizuri,na ukilazimisha umkamue sana mwishowe utamtoa damu badala ya maziwa...
 
Finder

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
218
250
Hili swala tulijadili kwa kuwaheshimu walimu wetu,
Japo wapo ambao hawako vizur katika kuwasilisha content kwa wanafunz lkn unakuta kichwan mwao wako vizur tuu na hata kama hawakufanya tufaulu lkn kuna mchango wao mdogo uliotupa msing flan wa kusonga mbele.
Ukwel n kwamba taaluma ya walimu haithaminik sana, kwan watu wengine wakifel wanakimbilia kujipachika ualimu sasa hii ndio inakuja onekana kuwa walimu n fan ya kila mtu, jambo ambalo halifai kabsa.
Lkn changamoto nyingine n kwamba weng wa walimu ufaulu wao sio wa juu kwa sababu hata wao walifaulu kutoka mazingira magum ambayo yanafanya hata wao kuendelea kutokuwa vizur kweny baadh ya topic ambazo hawakusoma, hivyo akija kufundisha topic ambayo alipita juu juu au hakuisoma kabsa utamwina tuu kuwa n shalow.

Kwang mm lawama ziende kwa serikali kwa kutowekeza vya kutosha katika kuwaandaa walimu had kipind hik .....kwan kunafanya elimu iendelee kudumaa ama kushuka kabsa kwan hakuna anaetaman kuwa mwalim na hata walio walim wanataman kuhamia fan zingine
 
Ngishi

Senior Member
Sep 17, 2018
117
250
We nenda st kayumba ujifanye unashuka ngeli zako mwanzo mwisho maelezo chungu nzima unasema eti we nondo,baada ya siku mbili tatu utasikia watoto wanalalamika teacher anazingua haeleweki
 
Kichaka12

Senior Member
Dec 11, 2018
103
225
na
Upo sahihi,kwanini ujali na kuumiza kichwa wakati alokuajili hakujali?
Siku serikali itakapogeukia maslahi na kuboresha mazingira ya shule zake walimu watafanya hayo na mengine mengi,huwezi tegemea maziwa ya kutosha wakati humlishi ng'ombe vizuri,na ukilazimisha umkamue sana mwishowe utamtoa damu badala ya maziwa...
Nan ataumia kama walimu hawatajitoa kwa wanafunzi wetu??? hao wengine si wanasoma nje??
 
Kichaka12

Senior Member
Dec 11, 2018
103
225
Hili swala tulijadili kwa kuwaheshimu walimu wetu,
Japo wapo ambao hawako vizur katika kuwasilisha content kwa wanafunz lkn unakuta kichwan mwao wako vizur tuu na hata kama hawakufanya tufaulu lkn kuna mchango wao mdogo uliotupa msing flan wa kusonga mbele.
Ukwel n kwamba taaluma ya walimu haithaminik sana, kwan watu wengine wakifel wanakimbilia kujipachika ualimu sasa hii ndio inakuja onekana kuwa walimu n fan ya kila mtu, jambo ambalo halifai kabsa.
Lkn changamoto nyingine n kwamba weng wa walimu ufaulu wao sio wa juu kwa sababu hata wao walifaulu kutoka mazingira magum ambayo yanafanya hata wao kuendelea kutokuwa vizur kweny baadh ya topic ambazo hawakusoma, hivyo akija kufundisha topic ambayo alipita juu juu au hakuisoma kabsa utamwina tuu kuwa n shalow.

Kwang mm lawama ziende kwa serikali kwa kutowekeza vya kutosha katika kuwaandaa walimu had kipind hik .....kwan kunafanya elimu iendelee kudumaa ama kushuka kabsa kwan hakuna anaetaman kuwa mwalim na hata walio walim wanataman kuhamia fan zingine
serekali wafanye nini? maana vyuo vipo au kuwaandaa kwenye kipi? au wanakosea wapi kwenye kuwaandaa??
 
Wao wanajipitishia posho na mishahara yao minono,wanajikimu vizuri na familia zao,Mwalimu yeye nani mpaka aumie kwa maslahi ya wanasiasa?
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,788
2,000
Habri zenu wadau wa elimu........

wale walimu na wadau wengine wa elimu naomba wachangie tofauti ya kufundisha na kutafsiri notes ili kuwa update walimu na kuongeza ufanisi katika masaala mazima ya kujifunza....

je ni walimu wa masomo yapi hasa ambao wenyewe wanaingia class kama kutfsir tu notes na sio kufundisha...

lets talk together.

NATANGULIZA SHUKRANI KWA WADAU WOTE WA ELIMU.....
Kwanza mleta mada ungeleta maana ufundishaji ili majibu yawe na reference ( nadhani marejeo)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom