mzenjiboy JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 907 Reaction score 387 May 17, 2021 #1 Hili neno “kufunda” huwa nalisikia kutoka tv za kibongo sio zetu za hapa Ungujani, au pia kwenye magazeti. Maana ya neno hili kwa hapa kwetu kufunda ni kupiga kwa nguvu au kwa hasira lakini hii kufunda kwa kibongo lina maana gani ?
Hili neno “kufunda” huwa nalisikia kutoka tv za kibongo sio zetu za hapa Ungujani, au pia kwenye magazeti. Maana ya neno hili kwa hapa kwetu kufunda ni kupiga kwa nguvu au kwa hasira lakini hii kufunda kwa kibongo lina maana gani ?
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,372 Reaction score 12,479 May 17, 2021 #2 Nadhani ni kufundisha... Hasa jinsia ya ke ndio hufundwa\kufundishwa kutunza wenza wao
mzenjiboy JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 907 Reaction score 387 May 17, 2021 Thread starter #3 Tetramelyz said: Nadhani ni kufundisha... Hasa jinsia ya ke ndio hufundwa\kufundishwa kutunza wenza wao Click to expand... Okay nimekuelewa mheshimiwa.
Tetramelyz said: Nadhani ni kufundisha... Hasa jinsia ya ke ndio hufundwa\kufundishwa kutunza wenza wao Click to expand... Okay nimekuelewa mheshimiwa.
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,934 Reaction score 13,950 May 17, 2021 #4 Kumfundisha/kumuandaa (hasa jinsia ya kike) kujitambua, kujithamin na kujua nafas yake katika nyaja mbali mbali za kijamii hasa mahusiano na ndoa(hasa upande wa mahadiri) Hiv ndivyo ninavyo jua
Kumfundisha/kumuandaa (hasa jinsia ya kike) kujitambua, kujithamin na kujua nafas yake katika nyaja mbali mbali za kijamii hasa mahusiano na ndoa(hasa upande wa mahadiri) Hiv ndivyo ninavyo jua
chivala JF-Expert Member Joined Apr 13, 2021 Posts 772 Reaction score 2,307 May 17, 2021 #5 Tetramelyz said: Nadhani ni kufundisha... Hasa jinsia ya ke ndio hufundwa\kufundishwa kutunza wenza wao Click to expand... Luga zetu za kibantu: Kufundwa ni kufunzwa.
Tetramelyz said: Nadhani ni kufundisha... Hasa jinsia ya ke ndio hufundwa\kufundishwa kutunza wenza wao Click to expand... Luga zetu za kibantu: Kufundwa ni kufunzwa.
chivala JF-Expert Member Joined Apr 13, 2021 Posts 772 Reaction score 2,307 May 17, 2021 #6 mzenjiboy said: Hili neno “kufunda” huwa nalisikia kutoka tv za kibongo sio zetu za hapa Ungujani, au pia kwenye magazeti. Maana ya neno hili kwa hapa kwetu kufunda ni kupiga kwa nguvu au kwa hasira lakini hii kufunda kwa kibongo lina maana gani ? Click to expand... *Mfunde mwanao adamu!. *mfunze mwanao adabu!. *usipo fundwa na wazazi, dunia itakufunda!. *Usipo funzwa na wazazi, dunia itakufunza!
mzenjiboy said: Hili neno “kufunda” huwa nalisikia kutoka tv za kibongo sio zetu za hapa Ungujani, au pia kwenye magazeti. Maana ya neno hili kwa hapa kwetu kufunda ni kupiga kwa nguvu au kwa hasira lakini hii kufunda kwa kibongo lina maana gani ? Click to expand... *Mfunde mwanao adamu!. *mfunze mwanao adabu!. *usipo fundwa na wazazi, dunia itakufunda!. *Usipo funzwa na wazazi, dunia itakufunza!
C Cley madekaz Member Joined Mar 20, 2021 Posts 38 Reaction score 47 May 17, 2021 #7 Wote hamjui kufundwa hutumika kwa wanawali mabint waliovunja ungo wako unyagoni au vijana walio jando la kimila polini mafunzo wanaopata kule ndo inaitwa kufundwa
Wote hamjui kufundwa hutumika kwa wanawali mabint waliovunja ungo wako unyagoni au vijana walio jando la kimila polini mafunzo wanaopata kule ndo inaitwa kufundwa