Hii story ni kutoka kwa
jamaa yangu ameniomba ushauri:
ilikuwa juzi,mkewe alikwenda kwako kutembelea(kwao na mkewe ni mjini
pia)
Aidha baba mkwewe ni dreva tax.
sasa jamaa yangu akaenda hotel moja mjini akampigia nyumba yake nogo
imfuate hotelini,nyumba ndogo ilipofika ikamuomba pesa ili ilipe dreva
tax ,jamaa akampa sh elfu 10,000 kwa minajili ya kutoa sh 5,000 lakini
dereva tax akadai nauli ni sh 7,000 hivyo yule bint akagoma kutoa
fedha,akairudisha kwa jamaa yangu akamtaka aende aelewane na dreva
tax,jamaa akiwa na hasira akamwendea tereva tax.kutupa macho ana kwa ana
na baba mkwe,baba mkwe akatingisha kichwa na kuondoka bila kupewa
nauli.
mkewe jamaa hajarudi na alipopigiwa simu hakuleza chochote(means baba
mkwe hajamweleza).
sasa huyu jamaa yangu hafanye nini?
Hii story ni kutoka kwa jamaa yangu ameniomba ushauri:
ilikuwa juzi,mkewe alikwenda kwako kutembelea(kwao na mkewe ni mjini pia)
Aidha baba mkwewe ni dreva tax.
sasa jamaa yangu akaenda hotel moja mjini akampigia nyumba yake nogo imfuate hotelini,nyumba ndogo ilipofika ikamuomba pesa ili ilipe dreva tax ,jamaa akampa sh elfu 10,000 kwa minajili ya kutoa sh 5,000 lakini dereva tax akadai nauli ni sh 7,000 hivyo yule bint akagoma kutoa fedha,akairudisha kwa jamaa yangu akamtaka aende aelewane na dreva tax,jamaa akiwa na hasira akamwendea tereva tax.kutupa macho ana kwa ana na baba mkwe,baba mkwe akatingisha kichwa na kuondoka bila kupewa nauli.
mkewe jamaa hajarudi na alipopigiwa simu hakuleza chochote(means baba mkwe hajamweleza).
sasa huyu jamaa yangu hafanye nini?
Huyo jamaa lazima atakuwa mjinga tu, kwani hajui baba mkwe wake ana tax? vipi aende ma speed bila kuweka akilini kama hio tax inaweza kuwa ya baba mkwe wake.
Ujinga mwingine tabu sana, afu ukitaka kula vya nje, kavile njee kabisa sio ndani ya mji.
mbona hiyo kawaida sana upepo wa mapenzi utapita, yeye amtafute baba mkwe amwombe msamaha na amwambie asimwambie mwanae. Baba akimwambia mwanae atakuwa amelikoroga maana mtoto anaweza pata hasira akatoka kitu ambcho kitakuwa kimekula kwa familia ya yule baba maana hata akija olewa tena same issues atazikuta huko kwingine
Asiwe na wasiwasi dingi hawezi sema kwa mkewe. Wanaume wengi wazee hutumia busara kusolve mambo! Akamwone mzee na amwombe radhi kwa yote. Akipeleka suti kama faini yake yatosha! Ila ASIRUDIE TENA!