ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu, akapigwa lakini akaweza kuchomoka uchi mpaka kwake..
MKE; Hee.. kunani? mbona hivyo?
MUME; Majambazi mke wangu, wamenikamata, wameniibia kila kitu mpaka nguo na kunipiga.
MKE; Naona wamekuvalisha na condom..
MUME; Aaah condom nimenunua kujistiri baada ya kuona niko uchi kabisa..