Mkeo sio mstaarabu kabisa, kwanzan kwanini akufumanie? Ok hilo la kukufumania unaweza ukamsamehe, ila kwa nini akujazie watu? Astakafulilah, tena akawa anachonga balaa!!! Bado upo naye? Huyo mimi ningepiga chini hapo hapo dadeki. Mwanamke lazima awe submissive kwa mwanaume.