usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Dhuuuuu jamaa hakuaminNdo hivyo tena nilimuaga nasafiri lkn roho ilisita kusafiri siku ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ungeweza kurud
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhuuuuu jamaa hakuaminNdo hivyo tena nilimuaga nasafiri lkn roho ilisita kusafiri siku ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikimfumania mme wangu wala sifanyi chochote kwanza nitazidisha mapenzi nabadili na style za kitandani atajihukumu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Avatar hiyo ni wewemwanaume kama hakupendi hata umlambe kinyeo ni kazi bure,,,,nilikua na dem zaidi ya miaka miwili yaani mda wowote nikitaka show naenda tena hta bila taarifa ila ndo hivo sikua nampenda na sikua na malengo nae na yeye alijua hilo,,roho imenisuta juzi tumeachana kwa amani
Huyo hakuwa mwanaume halisi. Mimi hata mwanamke anifumanie namlamba vibao vya kutosha kumkata wenge.Nilishawahi kumfumania ex boyfriend wangu na mwanamke wake wakiwa wamekaa kwenye benchi aiseee niliwachezeshea kichapo mwanamke alitoka nduki nene fasta alipanda boda boda mwanaume yule nilimpiga mateke sijui nilipata wapi zile nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
So alijitahidi kukulamba kinyeo ili umpende?mwanaume kama hakupendi hata umlambe kinyeo ni kazi bure,,,,nilikua na dem zaidi ya miaka miwili yaani mda wowote nikitaka show naenda tena hta bila taarifa ila ndo hivo sikua nampenda na sikua na malengo nae na yeye alijua hilo,,roho imenisuta juzi tumeachana kwa amani