"Kufulia" kwa CUF Bara!

Tatizo la CUF ni upofu, you can noty expect progress kwa kumweka Lipumba uenyekiti mtu ambaye hata akigombea kuwa afisa kijiji wa ilulangulu (kijijini kwao) hawezi kushinda....
 
Hivi kwa nini Chama cha Wananchi (CUF) kimekosa umaarufu kiasi kwamba kilikosa kiti hata kimoja bara 2005? Wabara wengi hawakioni kama Chama mbadala bali Chama Cha Waislamu kutokana na viongozi wake almost wote kuwa Waislamu! Je, ipi hasj ni sababu? 1. Kwa sababu ya Udini? 2. Hujuma za CCM? 3. Sera mbovu? 4. Lugha ya vitisho, eg tusipoingia Ikulu damu itamwagika? 5. Viongozi wake hawauziki? 6...?

Na katika viti vya udiwani katika chaguzi ya mwisho Namba inasemaje? Mbona hukuiandika? Au ndio kila mwamba ngoma huvutia kwake? Au ni unafiki?
 
Kama mnataka CUF iwe Chama cha kiislamu basi kitakuwa tu na hakuna wakukizuia ,ila msipeane tamaa kuwa Chadema wataibuka washindi kwa wandugu sahauni ,tena ni vibaya sana kupeana tamaa ,maana mnaweza kushikwa na peresha na magonjwa ya gafula.
Na msiombe CUF ikakubalika 100% na waislamu ,mtapatwa na marazi ya ajabu ,na sasa mjue kunanukia waislamu kuipa sapoti CUF ,na kuachana na mafisadi na chama cha walokole cha Chadema.
 
Nakerwa saaaaaaaaaana na hoja za udini.tufikirie utaifa kwanza jamani, dini ni jambo binafsi kati ya mtu na muumba wake
 
Mkuu hata mwaka huu ni yaleyale hao first eleven utashangaa ni walewaleeee!!! kuna bosheni ya kafir kama watatu hivi.
 
Hivi kwa nini Chama cha Wananchi (CUF) kimekosa umaarufu kiasi kwamba kilikosa kiti hata kimoja bara 2005? Wabara wengi hawakioni kama Chama mbadala bali Chama Cha Waislamu kutokana na viongozi wake almost wote kuwa Waislamu! Je, ipi hasj ni sababu? 1. Kwa sababu ya Udini? 2. Hujuma za CCM? 3. Sera mbovu? 4. Lugha ya vitisho, eg tusipoingia Ikulu damu itamwagika? 5. Viongozi wake hawauziki? 6...?
Kweli mkuu chuki zitakuua. Hivi mwaka 2005 CUF ilishika nafasi ya ngapi? Ukristo aka udini wako ndo unakuponza hata usione kama unaandika pumba humu JF. Visiwani kuna watu wachache sana kiasi ambacho hata kama wangepigia kura CUF wote wasingepata nafasi ya pili. Kwenye nyekundu hapo, nilishawahi kuandika huko nyuma kuwa wewe ni mdini sana, tena sana, na namaanisha. Naleo hii umedhihirisha. Tena kweli umedhihirisha. Shame on you.
Na la mwisho, hata kama ungekuwa wewe kama wanachama wa kabila fulani wanakuja wengi ungesema jamani sasa nyinyi imetosha na hitaji kabila lingine? Nadhani ambacho ungefanya ni kuwamaintain wakati ukiwavuta na wa kabila lingine, kwa hiyo wewe ulitaka CUF isema jamani sasa nyinyi watu wa kofia basi na hitaji watu wa mstachi? Simply, just think! Usiwe taburarasa, kama ulivyosasa, Yes, bila shaka wewe utakuwa taburarasa kama inavyojionesha kwenye thread yako.
Jifunze.
 
nafikiri baadhi ya washabiki wa chadema na CUF wanaviharibia sifa vyama vyao. Calculated move za CCM naona zimefanikiwa at 100%...at the end of the day CCM wataendelea kuongoza, na makelele yote yanayopigwa hayana maana.
let Chadema concentrate on their business, and CUF the same....kuharibiana huku hakumsaidii yoyote...tuache sifa mbaya kumpa Prof Lipumba...leo hii akitoka CUF na kujiona chadema mtaanza kutoa Sifa...!!! humtaki kiongozi kwa vigezo vyako...!!!
 
Ijumaa (6 Aug) niliwakuta CUF (Juma Duni, Lipumba na wengine) pale buguruni kituo cha taxi wakijinadi nikajiuliza vitu viwili. Cha kwanza mbona kasehemu kenyewe wanachojinadia ni kadogo sana kwa maana ya eneo. Pili, japo idadi ya watu sio tija lakini pia nilijiuliza mbona watu wachache hivyo?

Kweli inawezekana CUF-Bara WAMEFULIA
 
Hivi ninyi wakereketwa wa CHADEMA madai yenu ya kukipakazia CUF ni cha dini fulani ati kwa sababu wanachama wake wengi wanavaa vikofia au wana majina yanayo fanana na Uislamu ni lini watu wenye majina yanayofanana na Ukiristo walitaka kujiunga na CUF wakakataliwa uanachama?

Kwanza tangu uchaguzi wa 2000 na 2005 CUF walikuwa namba 2 ktk matokeo ya kura zilizopigwa! CHADEMA kama munataka upinzani ushinde kupakaziana hakusaidii chochote! sana sana mutasababisha hasira kwa WAISLAMU ambao mpaka sasa hivi tunapoongea hawana chama maalum wakipigie kura CUF, CCM au wapige kura za MARUHANI kama walivyofanya wana CUF huko PEMBA miaka ya nyuma!

Lyatonga Mrema 1995 hakuna aliyefikiri angekosa Urais kutokana na mbwembwe na nyota yake ya wakati huo kuvuma akisaidiwa na jopo la mashushushu kama Mabere Marando, Tenga, James Mbatia na wenzao wote lakini ameishia wapi?

CHADEMA nawapa ushauri wa bure! kama munataka DR. Slaa ashinde urais basi muache chokochoko na matusi dhidi ya CUF kwa kupakazia kuwa ni chama cha Waislamu kwani hayo ni matusi dhidi ya Uislamu na waislamu! ni lini Waislamu wa TZ walitangaza rasmi kuwa Profesa Lipumba ni chaguo la Mungu? kama walivyodai Wakiristo 2005 kuwa Kikwete alikuwa chaguo la Mungu! jee! sasa munakiri kuwa Mungu alikosea kumchaguwa Kikwete? au na sasa Mungu amebadilisha uwamuzi wake na ameamuwa kutuchagulia PADRI WILBERD SLAA kuwa Rais wetu mpya?
 
Mimi naamini wanaondesha kampeni za udini siyo CUF wala Chadema, kinachoendelea siyo udini kama wengi mnavyofikiri,huu ni mpango mahsusi wa CCM wa kuwagawa watz ili wakose umoja wa kuikabili,badala ya kujadili hoja na mikakati ya kuiangusha CCM, watu watabaki kubaguana kwa misingi ya dini na ukabila. Hata hawa kina MS na wengine siyo wadini hata kidogo bali wanajificha kwenye pazia la udini ili kuwaconfuse wadanganyika. Hoja ya kuwa CUF ni chama cha waislamu ilipandikizwa na CCM, hoja ya Dr. Slaa katumwa na RC imeasisiwa na CCM, hoja kwa Chadema ni ya Wachaga ni ya CCM.Tusipoteze muda wetu wa thamani kujadili hoja hizi tutakuwa tumeingia kwenye 18 za CCM za kutugombanishe ili waedelee kuitafuna nchi kuku sisi tunatoana macho. CCM ni mafia wanaweza kutumia njia zozote hata za kumwaga damu ili mradi waendelee kubaki madarakani.Siku zote nasema wacha dini iwe jambo binafsi la mtu na Muumba wake, hivi ni nani anapata mkate wake wa siku kwa vile tu kiongozi aliyeko madarakani ni wa dini yake?Tuanagalie mustakabali wa nchi yetu, tuone uchungu kuwa ule utajiri mkubwa wa rasilimali ambao Mwenyezi Mungu ametujalia unaliwa na kikundi kidogo cha mafisadi wakishirikiana na mabwana zao walioko ulaya na amerika sisi tukiachiwa sumu kwenye ardhi yetu baada ya wao kukomba dhahabu yetu.TUWAZE UKOMBOZI WA TAIFA LETU TOKA WAKOLONI WEUSI-CCM
 
CUF na Chadema,inaonekana kama kimoja kina sura ya Waislamu na kingine sura ya Wakristu.CCM itazoa kura nyingi kutokana na uzumbukuku wenu.
 
Hii mada nilikuwa sitaki kuchangia kwa sababu mna upuuuzi mtupu watu hawaongei "sense but nonsense" lakini Mkuu ulipotaja habari za kofia (sijuwi kama zinaitwa hivyo kwenu) nikakumbuka Mzee wa Kiraracha alipokuja visiwani akapewa yake mpaka leo anayo, alikuja Nyerere naye akapewa yake alipokanyaga Mrima tu akaivua...juzi nilipata mpya kumuona Dr.Slaa, akiwa kibanda maiti, Zanzibar na kofia yake..ha! ha! ha!

Kofia si kitu cha ajabu ila ni sehemu tu ya vazi kama ilivyo lubega kwa Mmasai au kanzu kwa Mwarabu,suti kwa Westerners n.k.sasa nini cha ajabu hapa?
 
Back
Top Bottom