inawezekana eeh..............halafu nashangaa ushuru unaotozwa pale bado huduma ya choo bado ni kwa kulipia, halafu uchafu kila pembe (japo tunaochafua ni sisi wenyewe)wanaamini kuwa wakiltengeneza mtagundua kuwa they are making a lot
amini usiamini, matofali unayoyaona ni kama support ya geti la kutokea magari stendo ya daladala Ubungo, kila gari hutozwa kati ya shs 500-1000 kutegemeana na ukubwa lakini hali ya geti ndiyo hiyo............HII NI KWA TZ TU.......[/QUOTE]
HAPO KWENYE RED
CLOUDS FM WANASEMAGA ''MADE IN TANZANIA'' MIE NAONGEZEA ''KWA HISANI YA CCM''
dah, umeua bendiamini usiamini, matofali unayoyaona ni kama support ya geti la kutokea magari stendo ya daladala Ubungo, kila gari hutozwa kati ya shs 500-1000 kutegemeana na ukubwa lakini hali ya geti ndiyo hiyo............HII NI KWA TZ TU.......[/QUOTE]
HAPO KWENYE RED
CLOUDS FM WANASEMAGA ''MADE IN TANZANIA'' MIE NAONGEZEA ''KWA HISANI YA CCM''
lakini kuna walinzi masaa yote hapo...............kazi sana, na wanapata fedha kila uchao:mvutaji:Hapo palikuwepo na chuma kizito cha kubalance, Nona kimepelekwa huko kwenye vyuma chakavu... waka replace na matofali!! chakachua !!