Kufukuzwa kwa akina Mdee ni dili

Kufukuzwa kwa akina Mdee ni dili

Mbowe badala ya kuwaripoti polisi wahalifu waliogushi signature ya katibu mkuu yeye anakula nao bata Nairobi na kutaka kumpatia mhalifu mmoja kazi inayolipa zaidi huko nje ya nchi.

Mbowe na hawa madada kwenye hii ishu wanajuana, asituzingue
Kama wanajuana, kwa nini Mdee na wenzake wasimwage mboga? Utasubiri sana.
 
Mdee yeye aliahidiwa na Mbowe kazi ya mamilioni nje ya nchi, Je Nusrat Hanje au mke wa Bananga aliahidiwa nini?. Mwenyekiti na Halima kuna kitu wanakijua kwenye hii ishu, time will tell
Nusrat Hanje atajuana na waliomtoa gerezani saa tatu usiku na kumsafirisha usiku kwa usiku kutoka Singida hadi Dodoma kwenda kuapishwa.
 
..Halima ni mjenga hoja mzuri na anayejiamini.

..kama ameshindwa kujitetea kuhusu uhalali wa yeye kwenda bungeni basi kuna tatizo kubwa upande wake.

..Nadhani Halima anaelewa kuwa amekiuka sheria kwenda bungeni ndio maana amepatwa na kigugumizi.

..Halima Mdee sio mtu wa kuenenda namna hii kama anaamini jambo analolisimamia ni la HAKI na HALALI.
Umemaliza.

Cc NTIGAHELA
MZALAMO
Ndinani
 
Shida ni hawa kuukosa ubunge Mbowe, Msigwa, Lema, Heche nk ikiwa afadhali tukose wote.
Maana kwa maoni yao CCM huiba kura miaka yote; Tume ya uchaguzi siyo huru; Polisi ni polisiccm, MaDED wote ni makada miaka yote; sasa kilichobadirika 2020 ni nini mpaka waumie hivyo?1Jibu li wazi wao kukosa ubunge; wao kukosa ajira; wao kukosa kipato; wao kukosa kinga ya kutukana watu watakavyo; wao kukosa fursa ya kuwatisha watu na kulipwa hongo wakiwa wenyeviti wa kamati muhimu za bunge
Hujaenda Chato. Ushauri wa Zitto Kabwe bado una nafasi kwako.
 
HABARI YA MBOWE KUMTAFUTIA KAZI MBADALA MDEE NI #KUWEWESEKA

Mmmh! Hizi #hekaya hizi hazina sababu, kwamba Halima amekataa kazi ya mshahara wa 15,000USD aliyotafutiwa na Mbowe kwasababu ya mshahara wa 5,000USD bungeni kweli but also inazua Maswali mengi Sana;

1. Kwanini Mh. Mwenyekiti ahangaike kutafuta kazi "Kubwa" Kwa ajili ya "Msaliti wa chama" ili aachie ubunge?

2. Mwenyekiti alikuwa na maslahi gani na Mdee pekee ilhali Wabunge wateule wapo 19?

3. Mwenyekiti alikuwa na sababu gani za kumbembeleza Mdee Kwa #kumuhonga kazi ilhali alikuwa ameshafukuzwa chama?

4. Hekaya hii ya mwenyekiti inayoendelea kusambazwa mitandaoni na wapambe wake inalenga kuarchieve nini hasa katika hatua hii?

5. Mwenyekiti anaamini kilichomuweka bungeni Mdee ni shida ya Kipato/ kazi?

6. Why Mdee, Mdee, Mdee ?

Mie nadhani ukweli ni kwamba Mwenyekiti anaweweseka na kujaribu kuonesha huzuni yake kutokana na kuondoshwa Kwa wanawake hao mahiri kutokana na ushabiki wa makundi ya ndani na nje ya chama kuushinda uhalisia mbowe anajua mchezo aloufanya kwa MDEE na wenzake ila anajaribu kuwapa matumaini ili nao wasimuanike hadharani kwa hiyo anacheza na akili za wajumbe kwa umakini huku akisubiria joto lipungue awarudishe kundini

Kimsingi si kazi rahisi na ni gharama kubwa ya Hali na Mali kugroom watu wa Kariba ya Mdee, Bulaya, Matiko etc. Mh. Mbowe akikumbuka safari hiyo inamuumiza kwasababu anaiona hasara yake kuliko washabiki wa mitandaoni.

Hii ni #bid_loss Kwa siasa za upinzani

mwanahapa

Huu uzushi kuwa Mbowe ndio aliyetoa baraka za kina Halima kwenda bungeni pia Paskali anautumia sana, ila yeye hamtaji Mbowe kwa jina bali anakuita kigogo wa Cdm. Na ukimuuliza ni nani aliyemtoa Nusrat Hanje usiku gerezani kuwahi muda wa kuapishwa, anaishia kuweka link za mapost yake ya zamani kulinda uzushi wake! Sasa kwakuwa wewe umetaja Mbowe kabisa, hebu tuambie Mbowe ndio aliyeagiza Nusrat Hanje atolewe gerezani usiku kuwahi kwenda kuapishwa?
 
Mbowe badala ya kuwaripoti polisi wahalifu waliogushi signature ya katibu mkuu yeye anakula nao bata Nairobi na kutaka kumpatia mhalifu mmoja kazi inayolipa zaidi huko nje ya nchi.

Mbowe na hawa madada kwenye hii ishu wanajuana, asituzingue

Kimsingi Mbowe asingeweza kuripoti hali hiyo polisi maana polisi wakati wa uchaguzi walikuwa upande wa serekali wazi wazi. Ila naamini kabisa Mbowe alibariki uwepo wa Covid 19 huko bungeni kwa kushirikiana na Mdee bila ridhaa ya chama kwa maslahi yake binafsi. Lakini kitendo cha Nusrat Hanje kutolewa gerezani usiku kuwahi kuapishwa, kunanifanya nijiulize ni ipi nguvu ya Mbowe eneo hilo? Hapa naweka akiba ya maneno naachia muda uamue.

Yote kwa yote tukubali tukatae, Mbowe muda wa kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm umepita. Kuna mambo mengi anafanya kulenga maslahi binafsi. Na huu mchezo wake wa kwenda ikulu mwenyewe bila wenzake wa chama, kisha kuja na maagizo aliyopewa na kuelekeza watu jinsi ya kufanya siasa za kuifurahisha ccm, naona kabisa muda wake umeisha.
 
Wanaosema hao akina mdee wangesamehewa hao hao ingetokea hivyo wangeanza kuinanga cdm kwamba wameshindwa kuwafukuza simply mchakato uliowaingiza bungeni ulikuwa na mkono wa Mbowe so acheni uamuzi uliofanywa na baraza ni wa kupongezwa sana na ulikuwa wa kidemokrasia sana na lazima watu wenye mapenzi mema na chadema lazima wauheshimu.Hao akina Mdee wamechagua fungu walilolipenda waache tuwaone kama wataendelea kuwa maarufu hata wakiwa nje ya chadema.Hapo cdm wengi wamepita na walijimwambafy kwamba ni maarufu kulko taasisi wako wapi nowdays?

Katika kitu nimependa ni msimamo wa wajumbe wa baraza, hapo wamedhihirisha wako sahihi kabisa. Mbowe hakutaka akina Mdee wafutwe uanachama, bali alitaka wasamehewe lakini kiburi chao kimewaponza , hivyo Mbowe kukosa nguvu ya kuwatetea. Tunamshukuru Mbowe kuheshimu maamuzi ya wajumbe, ila naye sio vibaya kwa sasa akiachana na cheo cha uenyekiti kwani wakati ni ukuta.
 
Wasingefukuzwa bado ingekuwa dili.
Kucheka na kulia zote ni kelele!
 
HABARI YA MBOWE KUMTAFUTIA KAZI MBADALA MDEE NI #KUWEWESEKA

Mmmh! Hizi #hekaya hizi hazina sababu, kwamba Halima amekataa kazi ya mshahara wa 15,000USD aliyotafutiwa na Mbowe kwasababu ya mshahara wa 5,000USD bungeni kweli but also inazua Maswali mengi Sana;

1. Kwanini Mh. Mwenyekiti ahangaike kutafuta kazi "Kubwa" Kwa ajili ya "Msaliti wa chama" ili aachie ubunge?

2. Mwenyekiti alikuwa na maslahi gani na Mdee pekee ilhali Wabunge wateule wapo 19?

3. Mwenyekiti alikuwa na sababu gani za kumbembeleza Mdee Kwa #kumuhonga kazi ilhali alikuwa ameshafukuzwa chama?

4. Hekaya hii ya mwenyekiti inayoendelea kusambazwa mitandaoni na wapambe wake inalenga kuarchieve nini hasa katika hatua hii?

5. Mwenyekiti anaamini kilichomuweka bungeni Mdee ni shida ya Kipato/ kazi?

6. Why Mdee, Mdee, Mdee ?

Mie nadhani ukweli ni kwamba Mwenyekiti anaweweseka na kujaribu kuonesha huzuni yake kutokana na kuondoshwa Kwa wanawake hao mahiri kutokana na ushabiki wa makundi ya ndani na nje ya chama kuushinda uhalisia mbowe anajua mchezo aloufanya kwa MDEE na wenzake ila anajaribu kuwapa matumaini ili nao wasimuanike hadharani kwa hiyo anacheza na akili za wajumbe kwa umakini huku akisubiria joto lipungue awarudishe kundini

Kimsingi si kazi rahisi na ni gharama kubwa ya Hali na Mali kugroom watu wa Kariba ya Mdee, Bulaya, Matiko etc. Mh. Mbowe akikumbuka safari hiyo inamuumiza kwasababu anaiona hasara yake kuliko washabiki wa mitandaoni.

Hii ni #bid_loss Kwa siasa za upinzani

mwanahapa
Mdee ndiye alikuwa kinara wa kundi hilo la malaya wa kisiasa. Alipewa B500 kwenye huu mradi haramu na alipewa masharti mazito na watu wa kitengo ndiyo maana aliikata offer ya Mbowe. Alijali zaidi uhai wake.
 
HABARI YA MBOWE KUMTAFUTIA KAZI MBADALA MDEE NI #KUWEWESEKA
...

Mie nadhani ukweli ni kwamba Mwenyekiti anaweweseka na kujaribu kuonesha huzuni yake kutokana na kuondoshwa Kwa wanawake hao mahiri kutokana na ushabiki wa makundi ya ndani na nje ya chama kuushinda uhalisia mbowe anajua mchezo aloufanya kwa MDEE na wenzake ila anajaribu kuwapa matumaini ili nao wasimuanike hadharani kwa hiyo anacheza na akili za wajumbe kwa umakini huku akisubiria joto lipungue awarudishe kundini

Hii ni #bid_loss Kwa siasa za upinzani

mwanahapa

Mh, M/kiti anaweweseka, yawezekana.

Kwenye "video clip" hii Mchungaji Peter Msigwa anadai Halima Mdee na wenzake, M/kiti Mbowe, kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA, aliwapa nafasi ya kusema lolote kabla ya maamuzi, wakakaa kimya.

Kama huo ndio ukweli, kuna jambo kubwa la siri ambalo lilifanyika hadi wakapata nafasi ya Ubunge wa kuteuliwa. Kwa mantiki hiyo suala lao la kufukuzwa chama litaendelea kuwa mgogoro chamani, kama tetesi za wao kufungua mashtaka zitakuwa na ukweli.
 
HABARI YA MBOWE KUMTAFUTIA KAZI MBADALA MDEE NI #KUWEWESEKA

Mmmh! Hizi #hekaya hizi hazina sababu, kwamba Halima amekataa kazi ya mshahara wa 15,000USD aliyotafutiwa na Mbowe kwasababu ya mshahara wa 5,000USD bungeni kweli but also inazua Maswali mengi Sana;

1. Kwanini Mh. Mwenyekiti ahangaike kutafuta kazi "Kubwa" Kwa ajili ya "Msaliti wa chama" ili aachie ubunge?

2. Mwenyekiti alikuwa na maslahi gani na Mdee pekee ilhali Wabunge wateule wapo 19?

3. Mwenyekiti alikuwa na sababu gani za kumbembeleza Mdee Kwa #kumuhonga kazi ilhali alikuwa ameshafukuzwa chama?

4. Hekaya hii ya mwenyekiti inayoendelea kusambazwa mitandaoni na wapambe wake inalenga kuarchieve nini hasa katika hatua hii?

5. Mwenyekiti anaamini kilichomuweka bungeni Mdee ni shida ya Kipato/ kazi?

6. Why Mdee, Mdee, Mdee ?

Mie nadhani ukweli ni kwamba Mwenyekiti anaweweseka na kujaribu kuonesha huzuni yake kutokana na kuondoshwa Kwa wanawake hao mahiri kutokana na ushabiki wa makundi ya ndani na nje ya chama kuushinda uhalisia mbowe anajua mchezo aloufanya kwa MDEE na wenzake ila anajaribu kuwapa matumaini ili nao wasimuanike hadharani kwa hiyo anacheza na akili za wajumbe kwa umakini huku akisubiria joto lipungue awarudishe kundini

Kimsingi si kazi rahisi na ni gharama kubwa ya Hali na Mali kugroom watu wa Kariba ya Mdee, Bulaya, Matiko etc. Mh. Mbowe akikumbuka safari hiyo inamuumiza kwasababu anaiona hasara yake kuliko washabiki wa mitandaoni.

Hii ni #bid_loss Kwa siasa za upinzani

mwanahapa
Dili ni ipi hapo ndugu mpigapesaa
 
Mh, M/kiti anaweweseka, yawezekana.

Kwenye "video clip" hii Mchungaji Peter Msigwa anadai Halima Mdee na wenzake, M/kiti Mbowe, kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA, aliwapa nafasi ya kusema lolote kabla ya maamuzi, wakakaa kimya.

Kama huo ndio ukweli, kuna jambo kubwa la siri ambalo lilifanyika hadi wakapata nafasi ya Ubunge wa kuteuliwa. Kwa mantiki hiyo suala lao la kufukuzwa chama litaendelea kuwa mgogoro chamani, kama tetesi za wao kufungua mashtaka zitakuwa na ukweli.

Wana umoja/swing mtapata tabu sana na mnapata tabu sana kama walivyopata mnao waandama hivi Leo wenzenu wamepitia tanuru la moto na wameibuka kama dhahabu safi,nyie Nii kwanza kama mkaa wa mkorosho😝
 
Back
Top Bottom