Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Mie nlimfuata dar nkakuta ajuza, sina hamu nae,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chaaa!!! Nimecheka mpaka mkojo umenibana ghafla
 
Miye tanga to moshi!but nkaambulia kutia mimba!tena niko secondary school...!
Aiiisee we ni noma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini una uhakika ilikuwa ya kwako kweli???
 
Mkuu nilitoka Karatu hadi LUSHOTO nikamkuta mtoto mkali sana bahati mbaya alikuja na mabest zake wawil tukaenda kula hotel flan buffet, kilichonifanya nimchukie yan waliamua kubrba sahan tatu tatu yan walibebanisha sahan tupu chin ya zenye chakula then tulivyofika mezan wakawa wanaziweka kwenye mikoba yao zile tupu ,,kitendo hicho kilinifanya nimdharau sana yule bint kesho yake nikaondoka sikurudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba walikuwa fukara wa kutupa, mpaka wanaiba sahani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya hadi Dar kufuata dushe???![emoji32][emoji32][emoji32]
kwa maelezo yake huyo anaonkana alifuata mjengo wa mwana,pumbavu kabisa,ndio maana alilala peke yake tena guest house,hiyo nauli angeponda tu raha anunue chips mayai na mishikaki kuliko ujinga alioufanya!
 
mimi nimewahi kuisafiria papuchi mikoa ya kaskazini huko nikitokea upande wa mashariki mwa nchi yetu,kufika stand nilivomuona yule manzi kwa jinsi alivyokuwa m`bovu tofauti na picha alizokuwa akinitumia,nilizimia simu sikioni,nikatafuta bar maid wa sehemu jirani na nilipofikia nikamgegeda usiku kucha asubuhi na mapema nikarudi zangu dar,ule kweli ni ujinga sana ulikuwa,khaaa!
 
Shy to bukoba..aisee watoto wa kihaya heshima kwenu ngosha nimewashushia mikono..makoye sana ila nashukuru matunda yalionekana i have beautiful baby girl.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom