LEE VAN CLEEF
Member
- Feb 28, 2013
- 29
- 5
Sema ulipo ili uambiwe uende wapi. Ukiandika, kabla hujapost soma ili uone kama swali lako likijibiwa utapata msaada sitahiki. Nikikuambia njoo hapa Namanyele kibaoni utaweza fika? Au umo kwenye kundi la wale wanaunda tume halafu ripoti ikiletwa hawakumbuka waliunda tume ya nini! Halafu ujue kuanzia leo kwamba si mbwa wote wa polisi ni wakali
Ndugu wana jf naomba mwenye utaalamu anisaidie nataka kufuga mbwa mkali kama wa polisi, nitampata wapi, vyakula vyake ,matibabu yake nk. kwa ujumla jinsi ya kuweza kumiliki mbwa kama wa polisi.
Uwe unaangalia kipindi cha Dog Whisperer kwenye TV, Geographical chanel.
Kuna jamaa anaitwa Ceasar Millan ni mtaalam sana.
http://www.cesarsway.com/channel/dog-whisperer-tv
Ndugu wana jf naomba mwenye utaalamu anisaidie nataka kufuga mbwa mkali kama wa polisi, nitampata wapi, vyakula vyake ,matibabu yake nk. kwa ujumla jinsi ya kuweza kumiliki mbwa kama wa polisi.
Mkuu Zinj mbwa namtaka kwa matumizi ya kawaida ulinzi wa nyumbani,uzio upo, mtu wa kumhudumia yupo, matunzo hayana tabu, na ninaishi Dar Ubungo.Mkuu, naomba nikuulize maswali yafuatayo:-
-Huyo mbwa kwa matumizi gani.
-Je eneo lako Lina hifadhi (uzio).
-Je Una mtu/watu watakae muhudumia.
-Uko tayari kumgharamia kimatunzo? (Chakula, usafi, tiba, mafunzo, upendo wa kuwa nae karibu Mara kwa Mara nk.)
-Unaishi wapi na eneo gani.
Tafuta mbwa yoyote tu then tafuta Polisi wa Mbwa wamfundishe atakuwa mkali kama hao tu
Mkuu Zinj mbwa namtaka kwa matumizi ya kawaida ulinzi wa nyumbani,uzio upo, mtu wa kumhudumia yupo, matunzo hayana tabu, na ninaishi Dar Ubungo.
Nishaacha siku hizi, kwa sasa najishughulisha na biashara ya vileo vikali, kama unahitaji sema. Nina import TAKENGO kuja Dar es salaam na ndio sorely distributor!