Kufuatia Matokeo ya Uchaguzi Arumeru.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufuatia Matokeo ya Uchaguzi Arumeru....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtoboasiri, Apr 4, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...kauli hii ilitolewa na mnazi wa ccm ambae (kama Rejao et al) aliedai CHADEMA hawawezi kushinda Arumeru. Baada ya matokeo alisema hivi:"Nilijua ccm itashindwa, ila jiulize swali hili, kama una mgonjwa hospitali ambae unajua atakufa utaacha kumpelekea chakula?"

  My take: Tuwasamehe kina Rejao et al!
   
Loading...