Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 615
Asante Mungu kwa Kuisimamia Afya yangu
...mkuu huu mkwara ni kwa wananchi au madaktari!?LIWALO NA LIWE.
Kushindwa wakati mapambano hayajaanza bado? Subiri muone upande wa pili wa dola baada ya ule wa kistaarabu kushindwa kufanya kazi LIWALO NA LIWE.
Hapo kwenye red unaweza kufafanua?
kumbuka misri, tunisia na Libya walianza hivi hivi kwa migomo ya wafanyakazi, wakafatia raia na baadae jeshi.
Amini msiamini hata vijana wetu majeshini hawafurahii kauli kama hizi kutoka kwa viongozi wa nchi wakati raia wanazidi kuumia, ipo siku wataungana na nguvu ya umma na matokeo mtayaona.
Wana Jf nimepata habari mbaya kuwa wahudumu wa vyumba vya maiti hospitali zote za Dar wametangaza mgomo wa kutopokea wala kuhudumia maiti yoyote hata kama mtu kafia hapohapo hospitali husika mpaka Dr Ulimboka atakapo kuwa amepona na kueleza yaliyo msibu.
Hivi nchi hii tunaelekea wapi?
Kama vile hamna kinachoendelea, nasikia JK yuko bussy na mipango ya safari yake ya Canada.
Nadhani kwa mgomo huo sasa maiti zitapangwa jangwani kwani huo ndo uwanja mpana.
Hapo kwenye red unaweza kufafanua?
Mkuu kifo kinaweza kumpata mtu yeyote.wamesemaji endapo watakufa wao napo maiti zao hawatazishugulikia?.hapa mkuu siyo siri mi naomba watangulie wao.
Ningependekeza Maiti zipelekwe ikulu
Hii Nchi inakoelekea ni kubaya; imani imekuwa finyu: kama akina Mzee wa Upako, Moses Kolola na wote wanaojiita Mitume na wengine Manabii wasipojotekeza wakatusogeza karibu na matakwa ya Mungu hakika tutaangamia.