Kuflash Stock Rom kwenye Motorola z2 Force

Kuflash Stock Rom kwenye Motorola z2 Force

ngebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
1,684
Reaction score
2,133
Habarini wakuu! Natumaini kwema.

Nina Motorola z2 Force hapa imekwamakwenye bootloop yaani inawaka then inaishia kwenye Logo ya Motorola, nimefanya utafiti nimegundua solution ni kuinstall/flash simu hii na stock Rom ila sasa mimi sio master wa hizo process nahofia nisije kubrick simu. Simu teyari ina TWRP

Anayeweza naomba acomment au anicheki Pm tuyajenge ( Sio kazi ya bure, hela ya soda itakuwepo)
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twrp kama utataka kuweka custom rom labda...

Kwani nani alikuwekea hiyo twrp?

Jaribu kwanza kuangalia kama kuna backup yoyote kweny simu yako

Boot kweny twrp kisha chagua restore kisha navigate kweny twrp folder utakuta backup folder..sasa humo angalia kama utakuta backup yoyote..kama hakuna basi njia ni kuweka custom rom mpya au kutumia stock rom kwa njia niliyopost link hapo
asante mkuu, hapo nimeona twrp haitumiki popote, so uwepo wa twrp kwenye simu haitaaffect hiyo process?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom