Habari wanajf,<br />
<br />
Ndo nimeingia toka kijijini kwa bibi na kule access not richabo, sasa leo naingia jf nakutana na hii stetimend inamentioniwa sana, "Kufikiri kwa masaburi"<br />
Jamani nini maana ya neno masuburi? maana naoa kiswahili kinakua kila kukicha.