chezeya mwalimu wa practical awe kungwi wangu mie! Kaizer njoo muone sweetlo wako huku anawapa watu alternative to practical mpka mi napata hofu kuhusiana na maslahi yao mwanafunzi wangu!
na waambie kabisa kuwa we lako haliganduki mwanzo mwisho!
Hivi hilo jukwaa la wakubwa lipo sehemu gani humu nilishatafuta mpaka basiNjoo kule jukwaa la wakubwa uone vitu na ushauri wa jinsi gani wa kuji "kilelesha".
mmh! unajua kufika kilelen kuna msisismko fulan hivi wa mwili mzima kiasi kwamba unakuwa kama umepigwa shoti ya umeme. so angalia tu usije muua mkeo bureee.
Nitafuteni kwa wakati kila mtu niwape pindi la kumfikisha mtu kileleni.mashosti zangu habari za asubuhi.
kutokana na ukweli kuwa wengi wetu huwa hawafiki kileleni wafanyapo mapenzi wewe huwa unatumia mbinu gani kuhakikisha kuwa umepata hiyo raha ya pekee? mind you that lazima umshirikshe mpenzi wako ili kufikia lengo hilo.i
je unawasiliana nae vipi wakati wa majambozi kuhakilisha kuwa anakufikisha japo mara moja tu kwenye game husika?
Jameni sasa practical inakuwaje? Makungwi hawa ni wa nadharia tu?