Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
chezeya mwalimu wa practical awe kungwi wangu mie! Kaizer njoo muone sweetlo wako huku anawapa watu alternative to practical mpka mi napata hofu kuhusiana na maslahi yao mwanafunzi wangu!
Mwalimu wangu snowhite mi namkubali sana sweetlo gfsonwin kwa darsa lake manake nomemfunda mi mwenyewe tangu ako na miaka 18 tu.
Sasa ndo nashangaa vijana hawajui kama waZee tupo wakinasia wasinilaumu.
Nimekumiss snowhite
Last edited by a moderator: