Kufika kileleni haraka kupita maelezo

Kufika kileleni haraka kupita maelezo

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Jamani hili ni tatizo au starehe? ninapoanza kabla sijakaa vizuri nimeshusha!!!
 
Hahahahaaaaa! LOLEST! OLDEST PROFESSION FEVER ndani ya MMU! NI MTAZAMO TU!
 
Jipange usiwe na kimuye muye mapigo yako ya moyo yawe normal yakiwa kasi zaid na kama maandalizi ziro basi kinachofuata nifedhea mapema,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Try your level best to prolong foreplay

 
Last edited by a moderator:
inaonekana ushawahi kuwa mpiga nyeto mzuri sana if YES hayo ndo madhara yake sasa.. Au una NGARE/VIGONERA sana mkuu
 
unamchosha mwenzio, tena atakuwa anakuvumilia sana nani anataka mwanaume ambaye akigusa tu tayari katoa wazungu?
 
siyo tatizo, ni kutozoea. lifanye tendo la ndoa kuonekana la kawaida, usiwe unaruhusu mapigo ya moyo kwenda kasi unapotarajia kukutana na lindo lako, kuwa normal maana kinachokutokea ni wewe mwenyewe kujiandaa, sasa unapoingia mechini, wewe tayari ushaiva, inakuwa kuangushia tu
 
mmmh, ukishusha jitwishe tena.

Watu wanaweza wakacheka lakini nafikiri utakuwa umemsaidia mleta mada.
Manake mzigo ukidondoka ni kujitwisha upya..Sasa kama la kwanza limepita kwa nini usitafute la pili??
Mleta uzi fuatlia nyuzi za MziziMkavu utapata majibu ya nini cha kufanya in case mzigo hauna speed governor!
 
Last edited by a moderator:
Upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na magonjwa ya moyo, kisukari, mafuta mengi mwilini (high

cholesterol), uvutaji sigara, matumizi ya madawa ya kulevya, matatizo katika uhusiano, mawasiliano duni na

mwenza wako, matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, wasiwasi (anxiety),unywaji pombe,upungufu wa

homoni aina ya testerone, kuongezeka uzito au uzito uliopitiliza, tabia ya kujichua kwa muda mrefu (masturbation)

Dawa za Nguvu ya kiume kwa mwenye kutaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

Au wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii fewgoodman@hotamail.com
 
kama unashusha fasta na kuendelea na game wala hakuna tatizo.
lakini kama ukishusha alafu uwezo wa kuendelea na game ya pili hamna, then ni tatizo kubwa sana.
 
Fanya kila mechi ni sehemu ya mazoezi...acha kupania na usipanic, chukulia ni vitu normal tu!
 
Back
Top Bottom