Kuficha unaempenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuficha unaempenda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kachumbari, Jan 18, 2011.

 1. k

  kachumbari Senior Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sielewi kipi ni kibaya zaidi? kuficha kwamba una mtu unaempenda au kuwa na wasiwasi kuwaeleza watu kuwa unampenda na kuogopa ipo siku utaaachwa?
   
 2. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mueleze kuachwa ni matokeo
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Vyote vina ubaya sawa.
  Unamficha ina maana hujaridhika nae au?
  Kwanza mapenzi hayafichiki.
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  sema usiogope
  ulizaliwa wewe peke yako uchi
  utakufa peke yako
  kuachwa na kuacha sio kusudio ni matokeo ya hitilafu ktk safari ya mapenzi

   
 5. tama

  tama JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuficha ni mbaya,na pia kuachwa hayo ni matokeo tu.
   
Loading...