Huu utamaduni kuanzia enzi za nyerere..Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo.
Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo.
Kama ni issue ya ulinzi, kwa nini Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na wengineo hawalindwi kwa kuwaficha?. Kuna ulinzi gani mkubwa zaidi ya kumlinda Rais Duniani?
Kama Rais ana ulinzi mkubwa zaidi lakini bado tunakuwa naye pamoja kwenye shughuli mbalimbali, mashahidi wana nini cha pekee kumzidi Rais?
No live witnesses No case.
Huu utamaduni kuanzia enzi za nyerere..
Lakini utaratibu bila shaka kama sijasahau ulitumika wakati wa kesi ya ruto na kenyatta kule ICC
Nchi ya wanyama VS nchi ya binadamu Vile vile mkuki kwa nguruwe kwa binadamu..................Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo.
Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo.
Kama ni issue ya ulinzi, kwa nini Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na wengineo hawalindwi kwa kuwaficha?. Kuna ulinzi gani mkubwa zaidi ya kumlinda Rais Duniani?
Kama Rais ana ulinzi mkubwa zaidi lakini bado tunakuwa naye pamoja kwenye shughuli mbalimbali, mashahidi wana nini cha pekee kumzidi Rais?
No live witnesses No case.
Wamekosa mashahidi, na kesi ni ya kutengenezwa...Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo.
Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo.
Kama ni issue ya ulinzi, kwa nini Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na wengineo hawalindwi kwa kuwaficha?. Kuna ulinzi gani mkubwa zaidi ya kumlinda Rais Duniani?
Kama Rais ana ulinzi mkubwa zaidi lakini bado tunakuwa naye pamoja kwenye shughuli mbalimbali, mashahidi wana nini cha pekee kumzidi Rais?
No live witnesses No case.
Hata Mahakama ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu ya The Hague inatumia utaratibu wa kuficha mashahidi. Kwenye hili hata mkienda kwa mabwana zenu Ulaya mnalalamika watawaahangaa kweri kweri kwasababu na wao huo utaratibu wanatumia. Kwa kifupi hata Mahakama ya Rwanda Genocide ya Arusha wanautumia. Kwanini isiwe kwa Lissu?Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo.
Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo.
Kama ni issue ya ulinzi, kwa nini Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na wengineo hawalindwi kwa kuwaficha?. Kuna ulinzi gani mkubwa zaidi ya kumlinda Rais Duniani?
Kama Rais ana ulinzi mkubwa zaidi lakini bado tunakuwa naye pamoja kwenye shughuli mbalimbali, mashahidi wana nini cha pekee kumzidi Rais?
No live witnesses No case.
Hata Mahakama ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu ya The Hague inatumia utaratibu wa kuficha mashahidi. Kwenye hili hata mkienda kwa mabwana zenu Ulaya mnalalamika watawaahangaa kweri kweri kwasababu na wao huo utaratibu wanatumia. Kwa kifupi hata Mahakama ya Rwanda Genocide ya Arusha wanautumia. Kwanini isiwe kwa Lissu?
Kama Sheria ipo tatizo nini?..hata katika kesi dhidi ya Boni Yai, upande wa jamhuri wanataka kuficha mashahidi. Upuuzi mtupu.
Kama Sheria ipo tatizo nini?
Usikute hao mashahidi ni miongoni mwa aliokuwa akifanya nao kazi, vikao na mikutano!Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo.
Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo.
Kama ni issue ya ulinzi, kwa nini Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na wengineo hawalindwi kwa kuwaficha?. Kuna ulinzi gani mkubwa zaidi ya kumlinda Rais Duniani?
Kama Rais ana ulinzi mkubwa zaidi lakini bado tunakuwa naye pamoja kwenye shughuli mbalimbali, mashahidi wana nini cha pekee kumzidi Rais?
No live witnesses No case.
Kuficha mashahidi ni njia mojawapo ya kudhiti ukweli, kuchochea ukuaji wa fitina na uzushi, ni kuimarisha sera ya chuki katika jamii na kuoneana.....mashahidi wana nini cha pekee kumzidi Rais?