Rais wako anajulikana ni Trump...kwani na ww upo TZ?Siyo Rais wangu huyo.
......"Yuko ofisini anachapa kazi, amekusalimia sana."Je Yuko wapi?
Hata mimi naisi hivi anataka tusahau aje atutibue nyongo vizuriAmejificha anataka siku akiibuka atrend
Naona umekasirika sana baada ya kudhibitiwa usiibe mali za watu na kuharibu , zile mali mlizoiba kwenye maandamano uchwara ya kuhalifu zimewanogea sana mnajiona hamuwezi kuishi bila kufanya ule unyumbu wenu.
Sasa toka tena ukafanye maandamano yenu ya kinyumbu uone utakachokutana nacho
Kazivya kuuza Tanganyika......"Yuko ofisini anachapa kazi, amekusalimia sana."
Hahahaha hawa ndo walitaka eti kuchukua nchi ptuuuh!Kilichobaki hivi Sasa ni kupiga ramli kwa kwenda mbele๐คฃ๐คฃ
Ila nyinyi watu ni mataahira sanaMleteni Rais wetu mbele ya camera hata Kama tunamchukia, hatoshi, mwizi wa chaguzi, ametuulia ndugu zetu lakini ki protocol bado anakuwa Rais wetu hata Kama Ni haramu
Je Yuko wapi?
Anafanya Nini?
Kwanini ajifiche?
Yu Hali gani?
Kwanini awe waziri mkuu na sio makamo wa Rais juzi?
Who are you wewe unayezuia tusijue Alipo??
According to our Constitution no way ni Rais. Ingawa ukweli unajulikana na hata yeye mwenyewe na chawa wake wanaufahamu ukweli huo.Siyo Rais wangu huyo.
Wewe endelea kukejeli kuudhi lkn ungetoka nje uone kuna giza nene limetanda. Nature imesha take place.Naona umekasirika sana baada ya kudhibitiwa usiibe mali za watu na kuharibu , zile mali mlizoiba kwenye maandamano uchwara ya kuhalifu zimewanogea sana mnajiona hamuwezi kuishi bila kufanya ule unyumbu wenu.
Sasa toka tena ukafanye maandamano yenu ya kinyumbu uone utakachokutana nacho