Kufaulu written interview zinazosimamiwa na PSRS

Kufaulu written interview zinazosimamiwa na PSRS

Holota

Senior Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
114
Reaction score
91
Wakuu habarin za muda huu

Moja kwa moja niende kwenye mada nimehitim mwaka juz shahada ya finance baada ya kumaliza nilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine zinazo simamiwa na tasisi zenyew mfano TRA lakin zote hizo hakuna hata moja niliyofanikiwa kwenda oral interview
kwa mnaofaulu tupeni siri nin cha kufanya

Juz tena naona nimekuwa shortlisted sail zaid ya 3 hofu yangu kubwa ni kuhisi pia hizo saili sitofanikiwa kupita japo huwa napata marks ambazo napelea kidogo na cuttoff points

Kiifupi nahisi kukata tamaa je kuna mtu ambaye amefanya written nying bila mafanikio na alipata kazi
kwa wale wanaofaulu tupeni siri wakuu kwa sababu hapa nipo nimekata tamaa hata ya kufanya hizo interview
nakaribisha maoni , ushuhuda na ushauri wadau
 
Waajiri wengi hasa PSRS wanataka mtu mwenye uelewa mpana. Ndio maana utumishi inatumia aptitude tests na nyingi unakuta maswali ni Cross cutting kuanzia finance, ICT, research, statistics, literature etc maana yake ni lazima uwe mtu mwenye uelewa mpana.

So jitahidi kuwa updated hasa mambo ya msingi, usiwe busy kwenye movie na Instagram ila at least kila siku jifunze jambo jipya kwenye ulimwengu wa kitaaluma mfano emerging softwares za kutumika kwenye finance, kujua research inakuaje kwenye context ya finance, kufahamu hizi basic aptitudes za finance kma compound interests, simple interests, NPV etc

Soma magazeti serious kama the citizen, ripoti za CAG, miongozo ya NBAA, sheria na sera zinazogusa public finance n.k
 
nilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine zinazo simamiwa na tasisi zenyew mfano TRA lakin zote hizo hakuna hata moja niliyofanikiwa kwenda oral interview
kwa mnaofaulu tupeni siri nin cha kufanya
Pole sana mkuu usikate tamaa siku yako itafika tu
 
Wakuu habarin za muda huu

Moja kwa moja niende kwenye mada nimehitim mwaka juz shahada ya finance baada ya kumaliza nilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine zinazo simamiwa na tasisi zenyew mfano TRA lakin zote hizo hakuna hata moja niliyofanikiwa kwenda oral interview
kwa mnaofaulu tupeni siri nin cha kufanya

Juz tena naona nimekuwa shortlisted sail zaid ya 3 hofu yangu kubwa ni kuhisi pia hizo saili sitofanikiwa kupita japo huwa napata marks ambazo napelea kidogo na cuttoff points

Kiifupi nahisi kukata tamaa je kuna mtu ambaye amefanya written nying bila mafanikio na alipata kazi
kwa wale wanaofaulu tupeni siri wakuu kwa sababu hapa nipo nimekata tamaa hata ya kufanya hizo interview
nakaribisha maoni , ushuhuda na ushauri wadau
Pambana ukishindwa kabisa njoo umsaidie shemeji yako kuuza mabalo ya mitumba kkoo ya jumla jumla.

Note , HAURUHUSIWI kwenda extra mile.
 
Back
Top Bottom