Kufaulisha? Hapana ni kuhawilisha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufaulisha? Hapana ni kuhawilisha!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Uloi nga Machi, Feb 2, 2012.

 1. U

  Uloi nga Machi Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wengi wanapozungumzia kubadilishiwa gari wakiwa safarini wanatumia neno FAULISHA wakimaanisha kitendo cha kubadilishiwa gari walilokuwa wakisafiria awali nakupewa jingine inapotokea kwamba gari hilo limeshindwa kusafiri kwa sababu mbalimbali.

  Waungwana neno muafaka na sahihi ni HAWILISHA! FAULISHA NI KITENDO CHA KUSABABISHA MTU AU JAMBO FULANI LIFAULU! HAWILISHA ina maana ya kuhamisha au kubadilisha!( To change or transfer!)

  Mpo hapo?
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  tupo, asante
   
Loading...